Warioba: Mimi na Salim urais basi

Candid Scope, DULLAH MSAVIVOR,

..hatujamsikia Dr.Salim akipinga ufisadi.

..hatujamsikia akikemea na kupinga udini na ukabila.

..hatujamsikia akikemea ubaguzi wa waZNZ dhidi ya wa-TGK.

..hatujamsikia akitetea muungano, au akipendekeza muundo bora na wa haki wa muungano.

..hatujamsikia akipinga sera za uuzwaji holela na umilikishwaji wa mali za umma.

..inasemekana ni mwanafunzi nambari wani wa Mwalimu Nyerere lakini hatetei siasa za ujamaa, wala hahubiri sera ya kujitegemea.

..hatujamsikia akitetea nafasi ya Tanzania ktk jumuiya ya Afrika Mashariki.

..hata wakati wa harakati za KATIBA MPYA hatukumsikia akieleza msimamo wako.

..the man is just silent and indifferent kwa mambo yote yanayomkaibili nchi yetu na mwananchi wa kawaida.

..inasemekana anajiweza, lakini sijawahi kusikia amechangia msikiti, kanisa, shule, kisima cha maji, timu ya mpira, popote pale nchini.

cc: Kubwajinga, Nguruvi3, Ritz, njiwa

Tena ni bora ameamua kukaa kimya hivyo hivyo,,

Mnataka aongee ili mumwekee maneno yenu kinywani mwake??

Nani asiewajua wabongo kwa visa??

Hivi kakaa kimya tuh mmeanza kumchokonoa chokonoa je akitoa kauli yake??itakuaje..
 
Aaah Wapi,

Mmeshaanza siasa zenu za majitaka sasa,,

Hebu niambie wewe sasa.humpendi huyu kwa chuki zako binafsi au humpendi kwa kuwa yuko CCM??

Akisimama huyo 2015 hatuna budi kumpatia nchi hii,mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni..

Au kwa kuwa ni Muislam??[/QUOTE

] opinion.jpg
 
Binafsi sikufikiria jambo hilo la kuwamo ndani ya kamati ya kuratibu katiba mpya. Nalo laweza kuwa tatizo la kujenga mazingira ya kusafisha magogo atakamotandika mataluma ya reli ya kuingilia Magogoni.

Hii kitu ni serious mkuu. Tume inatakiwa iwe huru ili ije na katiba huru. Sasa kama Salim yupo kwenye hii tume ya katiba halafu bado anapewa vyeo ndani ya CCM tena central comittee wakati huo huo inasemekana ana nia ya kuwania Top Job. Hivi kweli tunategemea kupata katiba huru hapa au ni mazingaombwe mengine.

Actually nimeshangaa wanasiasa hawajalipigia kelele hili. Siamini kama akina Silaa, Lipumba, Mbowe, Zitto n.k. hajaliona hili. To me there is a serious "CONFLICT OF INTEREST HERE" whether atagombea au hatagombea Urais 2015 kwa kuwa ni member CC ya ruling party.
 
Ni kweli hafai. Niliwahi kusema siku za nyuma mods wakaacha maoni yangu. Lakaini kama ulivyosema hatuoni msimamo wake kama senir citizen kwenye masuala ya msingi ya kitaifa.
 
Tena ni bora ameamua kukaa kimya hivyo hivyo,,

Mnataka aongee ili mumwekee maneno yenu kinywani mwake??

Nani asiewajua wabongo kwa visa??

Hivi kakaa kimya tuh mmeanza kumchokonoa chokonoa je akitoa kauli yake??itakuaje..

DULLAH,

..mwanasiasa na kiongozi gani asiyesimama na kueleza msimamo na mtazamo wake kwa masuala yanayolisibu taifa lake??

..huyu angetufaa wakati ule wa chama kushika hatamu na siasa za chama kimoja.

..viongozi wa aina ya Salim Salim katika zama hizi wako North Korea tu.
 
Candid Scope, DULLAH MSAVIVOR,

..hatujamsikia Dr.Salim akipinga ufisadi.

..hatujamsikia akikemea na kupinga udini na ukabila.

..hatujamsikia akikemea ubaguzi wa waZNZ dhidi ya wa-TGK.

..hatujamsikia akitetea muungano, au akipendekeza muundo bora na wa haki wa muungano.

..hatujamsikia akipinga sera za uuzwaji holela na umilikishwaji wa mali za umma.

..inasemekana ni mwanafunzi nambari wani wa Mwalimu Nyerere lakini hatetei siasa za ujamaa, wala hahubiri sera ya kujitegemea.

..hatujamsikia akitetea nafasi ya Tanzania ktk jumuiya ya Afrika Mashariki.

..hata wakati wa harakati za KATIBA MPYA hatukumsikia akieleza msimamo wako.

..the man is just silent and indifferent kwa mambo yote yanayomkaibili nchi yetu na mwananchi wa kawaida.

..inasemekana anajiweza, lakini sijawahi kusikia amechangia msikiti, kanisa, shule, kisima cha maji, timu ya mpira, popote pale nchini.

cc: Kubwajinga, Nguruvi3, Ritz, njiwa

sasa mkuu ulitaka awe kama lowasa..?
 
Aaah Wapi,
Mmeshaanza siasa zenu za majitaka sasa,,

Hebu niambie wewe sasa.humpendi huyu kwa chuki zako binafsi au humpendi kwa kuwa yuko CCM??

Akisimama huyo 2015 hatuna budi kumpatia nchi hii,mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni..

Au kwa kuwa ni Muislam??[/QUOTE]

Kaka nakubaliana nawe kwa yote isipokuwa kwenye red hapo!
Mimi ni Mkristo, kwangu dini sio ishu, kati ya wagombea nitakao wapa kura yangu 2015 salim ni mmoja wao bila kujali chama, dini, rangi wala kabila! Naamini katika uwezo wa mtu kuongoza na si chama au dini yake!!
 
sasa mkuu ulitaka awe kama lowasa..?
njiwa,

..nataka awe better than Lowassa.

..lakini hata kuandika makala kwenye magazeti, hapana??

..Zitto Kabwe kijana wa juzi kabisa anawazidi hawa Madokta wenye mauzoefu ya kimataifa.

..what about kuandika kitabu? mbona wazee wenzake kama Ibrahim Kaduma wameandika vitabu??

..labda Salim Salim amechoka, au hajali haya yanayoendelea nchini.
 
Last edited by a moderator:
Unachojua wewekupata rais bora inabidi awe na CV kubwa na awe amekuwa katika uongozi kwa mda mrefu?, unaifedhehesha hiyo user name ya majebere.
Hivi Slaa anafaa kwa lipi kuongoza hii nchi? Au mbowe anautaalamu gani wa kupewa nafasi ya urais? Na Viongozi wenu wote wa CDM wamefanyanya jambo gani la maana kuwa na sifa ya urais?

Mtu ameshika ubunge miaka 10 anakuja kusema anauwezo wa kuwa Rais wa hii nchi, si ni kichekesho tu.
Slaa= ubunge na upadri
Mbowe =UDJ na ubunge
Zitto= ubunge
Sasa hawa kweli mtaweza kuwafananisha na Salim ahmed Salim?
 
huyu mtu ana maono,kwasiasa hizi za ndani zilizojaa fitina na uchafu tanzania, akitia neno tuu hawakawii kumpaka shombo za siasa chafu
 
MWANDISHI UMEFANIKIWA KUONYESHA TOPE ZAKO ZA KICHWANI,TOFAUTI NA WENZIO AMBAO TOPE ZAO HUWA ZA MCHANGA,WEWE UMEONYESHA TOPE ZA MFINYANZI-Shame. On you! KWANI KAKWAMBIA ANATAKA URAIS,AU UNATAFUTA BWANA TUKUTOLEE POSA.
Wewe ambae kichwani hamuna tope unadhani hapa umeandika hoja ya maana, tena yenye mashiko.
 
Kwa mtazamo huu Salim ana dira gani katika kuongoza Tanzania ya leo kama atagombea urais?
Je, Tanzania tuendelea kunadishwa majina makubwa ya wagombea urais pasipo kuonyesha uwezo wao?

Huyu mzee hana hamu ya siasa baada ya mtandao wa Kikwete kumshughulikia alipotaka kugombea urais.
CCM watamlazimisha tu akubali kama hiyo ndio itakuwa karata yao ya mwisho ya kung'ang'ania madaraka.
CCM kwa kuuza maneno ni wazuri sana, watamlisha maneno,watamwandikia hotuba na orodha ya ahadi nzuri tu.
Nani zaidi katika kauli mbiu za kampeni kama CCM?

Kama bado "wadanganyika" tunapenda tutawaliwe na CCM, tuendelee kunadi wagombea watarajiwa wao.
Kazi hii inakwenda vizuri hapa JF, tena inafanywa kwa ustadi na hata watu ambao maandiko yao huonesha kukerwa na aina ya uongozi wa CCM.

Simba mwenda kimya ndiye mla nyama,pia ukumbuke kupe anapofukuta kwa mbuzi huwa hapigi kelele hata kuwe na harufu mbaya kwani anajua atanyonya damu.
 
Aaah Wapi,

Mmeshaanza siasa zenu za majitaka sasa,,

Hebu niambie wewe sasa.humpendi huyu kwa chuki zako binafsi au humpendi kwa kuwa yuko CCM??

Akisimama huyo 2015 hatuna budi kumpatia nchi hii,mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni..

Au kwa kuwa ni Muislam??

Nashangaa watu kama wewe, mtoa hoja hajataja dini kama sababu kuwa Salim hafai, wewe unaibua udini, sasa unataka achaguliwe kwa sababu ya dini yake? Kama wewe zimo kichwani jenga hoja kwa nini anafaa, siyo kuangalia kila kitu kwa mrengo wa udini
 
Aaah Wapi,

Mmeshaanza siasa zenu za majitaka sasa,,

Hebu niambie wewe sasa.humpendi huyu kwa chuki zako binafsi au humpendi kwa kuwa yuko CCM??

Akisimama huyo 2015 hatuna budi kumpatia nchi hii,mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni..

Au kwa kuwa ni Muislam??

Nashangaa watu kama wewe, mtoa hoja hajataja dini kama sababu kuwa Salim hafai, wewe unaibua udini, sasa unataka achaguliwe kwa sababu ya dini yake? Kama wewe zimo kichwani jenga hoja kwa nini anafaa au pangua hoja zake kwa hoja zako, siyo kuangalia kila kitu kwa mrengo wa udini.
 
Kwangu mimi salim anaweza kuwa mgombea safi kutoka sisiemu pamoja na ukimya wake kulinganisha na hao wengine!

Hivi ni kweli hamuwezi kujenga hoja bila kuingiza dini hata mahala pasipo stahili? Kwa nini ufikiri kila anayepingwa akiwa mwisalmu kinacho pingwa ni uislam wake na sio madhaifu yake!

Huu ni udhaifu mkubwa wa kutumia dini kujikinga una utoa wapi? Can't you stand alone?
Aaah Wapi,

Mmeshaanza siasa zenu za majitaka sasa,,

Hebu niambie wewe sasa.humpendi huyu kwa chuki zako binafsi au humpendi kwa kuwa yuko CCM??

Akisimama huyo 2015 hatuna budi kumpatia nchi hii,mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni..

Au kwa kuwa ni Muislam??
 
Kwa mtazamo wangu Salim anaweza kuwa ni candidate mzuri kwa CCM kuliko waliopo.

Lakini kama ni kweli anataka kugombea hiyo nafasi naona ni vizuri aka declare interest zake na kujitoa kwenye kamati ya katiba. Tunajua yeye na Warioba ni damudamu. Sasa kama wataendelea pamoja hawa jamaa si wanaweza kuwa wanajitengenezea katiba yao itakayowapa madaraka kwa jinsi wanavyotaka.

Kama Salim bado ana nia ya Urais basi aachie ngazi kwenye tume ya Katiba.

By the way kura yangu kwa Slaa!!
Well said mkuu, ila tume ya katiba inaratibu mapendekezo au inatunga katiba?

Sikumbuki vyema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom