mb on
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 1,835
- 799
Hahahahaaa Mambo ya multiple id wameshakuumbua!
Umeona eeh kamanda amekata mauno ya kutosha ..pole yake sisi wazee wa kulaylow tunasuuza Rungu mdogo mdogo
Hahahahaaa Mambo ya multiple id wameshakuumbua!
rais 2015 ambae watanzania twamuhitaji ni Prof. Ann Tibaijuka tuNdugu zangu Kusema Kweli, huyu Mzee Jaji Joseph Warioba ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya Katiba Mpya, ametokea Kuwa Kiongozi wa tatu Baada ya Dr.Slaa na Mhe.Mbowe, Kunivutia sana hasa Kwa Misimamo yao ya Kiutendaji pale Wanaposimamia Kile Wanachokiamini Kwa niaba ya wengi. Jaji Warioba licha ya Kuwa Kada na Mwanachama wa CCM, ameuonyesha Dhahiri Ukomavu wake wa Kisiasa Katika Kujenga, Kutetea na Kusimamia hoja zake zenye Maslahi Kwa Taifa letu Kwa Ujumla bila Kuelemea Upande wowote.
Jaji Warioba pamoja na Kukumbana na Shinikizo Kubwa Kutoka Upande wa Chama Chake, tena Shinikizo linaloambatana na Matusi, Kebehi, Dharau, Udharirishwaji n.k, Lakini Jaji Warioba anaendelea Kuwa Jasiri Kila Kukicha Katika Kutetea hoja za Wanyonge wa Taifa hili na Kubeba Mzigo wa Lawama zote Inazotupiwa Tume anayoiongoza, Ilimradi Kile anachoamini Kimeelezwa na Watanzania, Kiwasilishwe Bungeni. Mzee Warioba ni Mtu wa Pili baada ya Dr.Slaa, anayeweza Kugombea Urais 2015 Kwa Sababu ya Hekima, na Busara zake Kama za Mwl.Nyerere.
Alikuwa mmoja wapo wa wahunzi wakuu wa katiba tunayoitumia sasa,Aliwahi kuwa mwenyekiti wa Taasisi ya Kimataifa iliyopo chini ya UN inayojihusisha na masuala ya kikatiba na kisheria kwa nchi wanachama.Tupatie wasifu wa Chenge na Sitta.Ukiwa pro Chadema akili yako inawaza matukio tu.Sasa Warioba karne hii atamchagua nani? au katika utumishi wake wa uwaziri mkuu alifanya jema lipi la kumkumbuka?
Alikuwa mmoja wapo wa wahunzi wakuu wa katiba tunayoitumia sasa,Aliwahi kuwa mwenyekiti wa Taasisi ya Kimataifa iliyopo chini ya UN inayojihusisha na masuala ya kikatiba na kisheria kwa nchi wanachama.Tupatie wasifu wa Chenge na Sitta.
Hapana dalali wangu funika pua nikuambie
Nilikuwa chooni kaka usimwambie mwingine siyo
Mi nakunywa magunia viroba havinitoshi.
Acheni kumtania mzee aliyofanya yametoshsha
Utakuwa umenunua vyeti,ndio maana hujiamini mpaka ujisifie mwemyewe eti umesoma.Matendo na tabia ndio hutoa picha kamili ya msomi.Uchangiaji wako umedhihirisha kuwa wewe huna hicho ulichoingia nacho humu