warioba hajawahi shindwa kesi ya ubunge mahakamani. yeye ndo alimshinda wassira ambaye alikuwa ameshinda uchaguzi wa bunda mwaka 1995 akiwa chama cha nccr mageuzi. mahakama ilimkuta wassira ana hatia ya kutoa rushwa ktk uchaguzi huo na uchaguzi ukatengeuliwa na wassira akazuiwa kugombea ubunge kwa muda wa miaka mitano. jamaa baada ya hapo akajisalimisha ccm. hivyo usichanganye story. warioba is really a man of integrity.
Wewe muungano huu wa sasa unakusaidia nini?
Ndio, Ndoo maana ni rais wa jamhuri wa muungano wa tanzania.
Alivuliwa Ubunge na Mahakama kwa Kosa la Rushwa Kesi ilifunguliwa na Wassira, Warioba akiwa Mbunge wa Bunda
alifanya kipi cha kukumbukwa wkt alipokuwa prime minister na makamu wa rais.kama alishindwa wkt ule ataweza leo
Historia inaonesha Warioba amejituma sana kufanya kazi kwa ajili ya taifa hili. Mosi kamati ya raisi aliyoiongoza mwanzoni mwa utawala wa Mkapa kuhusiana na rushwa ilikuwa nzuri sana. Hata hivyo kazi yake ilitupiliwa mbali na hakuna jambo la maana lilifanyiwa kazi. Pia kazi aliyoifanya kwenye kamati ya katiba imetukuka. Amefanya kazi kwa uaminifu na ametoa na kutoa suluhisho litakaloiletea Tanganyika na Tanzania kwa ujumla ustawi mwema. Hata hivyo kazi yake inaonekana kudharauliwa. Hii inanisukuma nione kwamba kuna haja huyu mzee kuwa raisi wa nchi hii ili aweke misingi imara ya nchi yetu.