KENEDY LUKUWI
Member
- Jun 10, 2014
- 6
- 2
Nataman kuizika mwenyewr
Kwa tiketi ya UKAWA?
Huna akili wewe
msomi kilaza
Wewe si msomi, au hujaelimika. Ccm imetokana na Tanu na asp. Nyerere alichaguliwa kuwa rais kutokea kwenye uwaziri mkuu kasome tena historia ya Tanganyika tunayoiomba wananchi (si warioba).
Pia usijifunge kimawazo eti kila anayeipinga rasimu ya ccm anataka urais, au utuambie kama ni vibaya mtu kutaka urais.
Nao wote wanaopinga si viongozi tu, hata wananchi maana imekiuka maoni yetu ikaweka mipango yao ya kutawala zaidi
Usikurupeke nipe maslahi ya serikali3 kwenye kupato chako cha kila siku! Pumbavu wewe
Wasomi uchwara ndo hutukana badala ya kujenga hoja. Na usomi wako unahusiana nini na thread yako?
Wasomi uchwara ndo hutukana badala ya kujenga hoja. Na usomi wako unahusiana nini na thread yako?