shingwengwe
JF-Expert Member
- Feb 3, 2014
- 1,152
- 125
Rais wa nini?
Rais wa tz ikiwemo na misukule kama wewe!
Rais wa nini?
Kuficha maoni ya wananchi kumempunguzia heshima
Rais wa tz ikiwemo na misukule kama wewe!
alifanya kipi cha kukumbukwa wkt alipokuwa prime minister na makamu wa rais.kama alishindwa wkt ule ataweza leowarioba jembe na mzalendo wa kweli!
Alivuliwa Ubunge na Mahakama kwa Kosa la Rushwa Kesi ilifunguliwa na Wassira, Warioba akiwa Mbunge wa Bunda
Agombee lakini sio kwa ticket ya magamba... Tutampa
Hana influence yeyote kwa jamii ya watanzania wanaopenda umoja na amani. Hili la kutaka kuvunja muungano limemshushia heshima sana.
kwani alitaka kuvunja muungano au alitaka kuuboresha mm sijaelewa hapo ndugu.
Kuficha maoni ya wananchi kumempunguzia heshima
Hii avatar yako imekaa kinafiki.Hana influence yeyote kwa jamii ya watanzania wanaopenda umoja na amani. Hili la kutaka kuvunja muungano limemshushia heshima sana.
umasikini wa mawazo ni umasikini kupita umasikini wote- by j.k.nyerere (r.i.p)kasome hotuba yake.