Warioba: Mimi na Salim urais basi

Warioba: Mimi na Salim urais basi

Hana influence yeyote kwa jamii ya watanzania wanaopenda umoja na amani. Hili la kutaka kuvunja muungano limemshushia heshima sana.

Mwenye influence nadhani atakuwa huyu hapa kwa tathimini ya akili zako
ImageUploadedByJamiiForums1395759833.034574.jpg

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Warioba anafaa sana kuwa Rais maana mpaka sasa sijaona mtu makini lakini kwa Warioba yuko vizuri
 
alifanya kipi cha kukumbukwa wkt alipokuwa prime minister na makamu wa rais.kama alishindwa wkt ule ataweza leo

Tatizo wakati ule alikuwa ndani ya chama kisichopenda haki ila kama angekuwa nje ya ccm angefanya makubwa na pengine kulio ata Mandela.
 
Warioba anafaa kuwa mkuu wa nchi,akigombea kura yangu anayo bila shaka.
 
Historia inaonesha Warioba amejituma sana kufanya kazi kwa ajili ya taifa hili. Mosi kamati ya raisi aliyoiongoza mwanzoni mwa utawala wa Mkapa kuhusiana na rushwa ilikuwa nzuri sana. Hata hivyo kazi yake ilitupiliwa mbali na hakuna jambo la maana lilifanyiwa kazi. Pia kazi aliyoifanya kwenye kamati ya katiba imetukuka. Amefanya kazi kwa uaminifu na ametoa na kutoa suluhisho litakaloiletea Tanganyika na Tanzania kwa ujumla ustawi mwema. Hata hivyo kazi yake inaonekana kudharauliwa. Hii inanisukuma nione kwamba kuna haja huyu mzee kuwa raisi wa nchi hii ili aweke misingi imara ya nchi yetu.

Inahitaji moyo wa uzalendo na ujasiri wa hali juu sana kuthamini kazi ya Warioba. Kuitumikia nchi kwa moyo safi wa kizalendo hakuhitaji mtu awe Rais wa nchi. Warioba ameifanyia makubwa nchi na naamini katika ma Rais wajao yupo ambaye atakuja kutambua hilo na kumpa heshima anayostahili. Ingekuwa vizuri zaidi atambuliwe akiwa hai. Kuna watu tena vibaka tu wanapewa nishani ya ushujaa Tanzania na kuacha watu kama Warioba. Ni kipimo tosha cha jinsi nchi yetu ilivyofilisika kisiasa na hatimaye katika nyanja zote.
 
Tatizo wakati ule alikuwa ndani ya chama kisichopenda haki ila kama angekuwa nje ya ccm angefanya makubwa na pengine kulio ata Mandela.

Mkuu, tusikate tamaa kabisa. Hata ndani ya CCM kunaweza kutokea kiongozi jasiri akanusuru nchi. Najua kuna ugumu sana hilo kutokea. Hii minyukano ndani ya CCM inaweza kuwa na manufaa. Mafisadi wanaweza kunyukana hadi kutoa mwanya kwa cmpromise candidate kugombea. Huyu akiamua anaweza kubadili mwelekeo na kuinusuru nchi.

Mimi sitajali kama kiongozi bora atatoka wapi. Kinadharia CCM ina siasa nzuri lakini tatizo lipo kwenye utekelezaji kufuatana na aina ya kiongozi aliyepo. Bado tunaongozwa na haiba za watu na siyo mifumo ambayo ingethibiti viongozi wabovu
 
Historia inaonesha Warioba amejituma sana kufanya kazi kwa ajili ya taifa hili. Mosi kamati ya raisi aliyoiongoza mwanzoni mwa utawala wa Mkapa kuhusiana na rushwa ilikuwa nzuri sana. Hata hivyo kazi yake ilitupiliwa mbali na hakuna jambo la maana lilifanyiwa kazi. Pia kazi aliyoifanya kwenye kamati ya katiba imetukuka. Amefanya kazi kwa uaminifu na ametoa na kutoa suluhisho litakaloiletea Tanganyika na Tanzania kwa ujumla ustawi mwema. Hata hivyo kazi yake inaonekana kudharauliwa. Hii inanisukuma nione kwamba kuna haja huyu mzee kuwa raisi wa nchi hii ili aweke misingi imara ya nchi yetu.
Naungana nawe 100% maana anazo values zote alizojenga baba was taifa na pia anajali sana mawazo na matakwa ya umma wa taifa hili la Tanganyika mpya! Tutamsimamia kama mkombozi mpya wa nchi ya ahadi iliyokuwa imepotea.
 
Ila asisimame ndani ya ccm-wezi, kwanza wakimwona wanaweweseka kwa woga kama koko aliyeponea meno ya chui yaani kupatikana kwa katiba mpya yenye utawala wa haki
 
Magamba hawawezi kumpa nafasi maana amesaliti chama na kukumbatia utaifa zaidi.

Kumpa Warioba Ujaji ni hatua mojawapo ilotumika kuhakikisha haingii kwenye kinyang'anyiro cha uraisi. Upo utaratibu unaowazuia Majaji kugombea Uraisi Tz. Chezea magamba nini!
 
ccm hawatampitisha kwa sababu ni mzee keshajichokea alee wajukuu kwani watu wakuongoza wameisha tanzania
 
warioba hajawahi shindwa kesi ya ubunge mahakamani. yeye ndo alimshinda wassira ambaye alikuwa ameshinda uchaguzi wa bunda mwaka 1995 akiwa chama cha nccr mageuzi. mahakama ilimkuta wassira ana hatia ya kutoa rushwa ktk uchaguzi huo na uchaguzi ukatengeuliwa na wassira akazuiwa kugombea ubunge kwa muda wa miaka mitano. jamaa baada ya hapo akajisalimisha ccm. hivyo usichanganye story. warioba is really a man of integrity.
 
Warioba kiboko yake ni Wasira.
Muulizeni yaliyomkuta Muongo mmoja uliopita.
Chezeya wasira.
 
Nchi yetu ina shida moja, ushabiki wa kijinga. Hatuko makini kwenye mambo yanayohitaji umakini.
 
tunahitaji kuongozwa na jaji kwani atatusaidia sana kwenye sheria zetu.
 
Usikurupuke ndugu!
Fanya utafiti wa kutosha halafu urudi umsafishe warioba!
Kwa nini linapokuja suala la urais mnasingizia watu makosa ambayo hawakufanya?

Kajifunze Historia ili ujuwe Warioba aliachaje ubunge wa Bunda, kajifunze ujuwe Wassira alipataje jina la Tyson, kajifunze ujue ilikuaje Warioba akawekwa Zuio na Mahakama asigombee Ubunge kwa Miaka mitano mapenzi au chuki kwa Warioba hayawezi kubadili Past yake.
 
Back
Top Bottom