Uchaguzi 2020 Waraka wa Uchaguzi wa Shura ya Maimamu Tanzania

Status
Not open for further replies.
Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi imekuwa mwiba mkali kwa watawala. Vile visheria vya kujiwekea kinga ndo vinapelekwa kwa hati ya dharura.
 
Hao hawatusemei waislamu wote.....hao Wala hawatambuliki KISHERIA kutusemea.

Muislam Mimi SIYATAKI HAYO WAYASEMAYO. Muislam mimi na wenzangu tulio wengi tunataka kuiona tume HIIHII iendelee kwani iko KISHERIA na haina dosari zozote.

Waislam tunasemewa na BARAZA letu kuu BAKWATA.

WENGINE WANAKUWAGA WALE WACHOCHEZI WACHACHE.
Muislam Brown....utakuwa muislam wa kianglicana wewe siyo bure
 
Hao hawatusemei waislamu wote.....hao Wala hawatambuliki KISHERIA kutusemea.

Muislam Mimi SIYATAKI HAYO WAYASEMAYO.
Muislam mimi na wenzangu tulio wengi tunataka kuiona tume HIIHII iendelee kwani iko KISHERIA na haina dosari zozote.......

Waislam tunasemewa na BARAZA letu kuu BAKWATA.

WENGINE WANAKUWAGA WALE WACHOCHEZI WACHACHE.
Lugha ya kikoloni
 
Wewe ni muislam wa Tanzania?

Kama sivyo.

Unatapikaje maneno ya kuambiwa kuhusu taasisi ya kiimani ISIYOKUHUSU?!!

Hawa ndio waisilamu wa kweli, hawako tayari kufumbia macho tume inayooagizwa na rais kunajisi uchaguzi.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom