Umeusikiliza? Unao hapo kama hauna nakuwekea hapa kwakuwa sikuandika kwa kukurupuka
View: https://youtu.be/cTmfQqT1jGY
Mwanzo siku usoma huu Waraka, sababu Mimi si mtu wa siasa na sifatilii. Ila nilipo ona kelele zimekuwa nyingi na mada zimekuwa nyingi, nikasema ngoja niusome. Kwenye Waraka wenu, kwanza Kuna uongo na unafiki mwingi. Kingine imeonyesha ya kuwa Ukatoliki Haina misingi ya kielimu kwa maana misingi ya ki dini.
Ndio maana wapo wenzako wakiambiwa wasichanganye dini na siasa, wanahisi ni uongo. Lakini mtu unajiuliza ina maana Wakristo wameshindwa kuona ya kuwa Wana changanya dini na siasa.
Ukisoma hu Waraka Kuna uongo wa wazi umeandikwa na hao Maaskofu na hili nilihisi tangu mwanzo kuwa hakutakuwa na uadilifu, na hii inedhihirisha kwa namna gani Wakristo si watu wakuhoji.
Ukiangalia nukta ya pili inaonyesha katika halina misingi ya kidini, kwa kuupigia chapuo mfumo wa kishetani wa Demokrasia. Wapi katika mafundisho ya mitume wa kweli, walifundisha mamlaka hutolewa na Wananchi ? Hii ni Demokrasia.
Kingine, hakuna andiko lolote sahihi kinalosema "Sauti ya watu ni Sauti ya Mungu". Hii ni falsafa na lugha chafu ya kumzulia uongo Mungu.
Uongo mwingine ni pale wanaposema Wananchi hawajapenda bandari ichukuliwe ni Wananchi gani hao ? Bali wapo Wananchi ambao hawana muda na mambo hayo bali hawafatilii, huu ni uongo.
Lakini Kabisa limeonyesha halina muongozo wa kidini. Hapa tutawauliza Yesu aliwafundisha nini au panapo tokea sintofahamu chini ya mtawala, kifanyike nini ? Aliwafundisha muandike Waraka usomwe kama mnavyo fanya ? Maana yake matendo mnayo yafanya na hao viongozi wenu ni matendo ya Wanaharakati na Wanasiasa. Maana yake Wakatoliki hawana muongozo Wala misingi sahihi ya kimungu zaidi ya uhuni na uchochezi.
Tofauti na sisi Waislamu, sisi tuna misingi yetu hatupelekwi na mihemko ya Wanasiasa kama Maaskofu wenu.