Eti uweledi ?[emoji28][emoji28]hamna hoja ..Amini ukristo sio watu kama wewe wanaofanya makosa ya wazi kwa kukosa maarifa.
Basi wameandika porojo tupu yaani ukichambua kama form four ndo wameandika unaweza kupata hoja kibao ,hakuna andiko la kisoma hapo ndo maana research ni replicable ila hilo bandiko ukichambua tena kwa utafiti unaweza kufuta hoja kama zote hazina mashiko wala ufanisi kwa vile hamjui nn mnaandika.
Kitu kidogo tu mnasema hapakuwa na mwekezaji tofauti na serikali wakati Ticts alikuwepo zaidi ya miaka 20 hapo mna elimu au matope?
Mnashindwa kuwa na exposure kwamba uwekezaji hata mataifa makubwa upo ,then mnaongelea cheap politics za kizamani sasa huo usomi usiojua hata maendeleo ya kisasa ni akili zilizoshindwa kujiendesha kwa kupumbazwa na kazi ndogo za kukusanya sadaka instead ya kuumiza kichwa upate exposure .. Inakuwaje msomi wa masters anashindwa kuandika andiko lenye nondo nzito?
View attachment 2723612