Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,638
- 697,938
Waraka unaopinga kuchukuliwa kwa bandari zetu zote na kampuni ya DPW kwa mkataba mbovu sana uliachiliwa juzi mara tu watuhumiwa wa kesi ya uhaini walipopata dhamana! Usiniulize kama kesi za uhaini zina dhamana!
Waraka husika umepangiliwa na kuandikwa kiweledi inavyotakikana.. Umetumia ufundi na taaluma ya hali ya juu
Umeandikwa baada ya kufanyiwa utafiti wa kina, ithibati za kutosha na umeangazia kaliba zote katika jamii kwa makundi yao.. Ni waraka uliojitosheleza mno..!
Timing iliyofanyika pia ni ya hali ya juu uliachiwa siku mbili kabla ya siku ya ibada ili uwezwe kusambazwa kwenye mtandao wake nchi nzima na kisha jana ukatolewa wito usomwe kwenye makanisa yote siku ya ibada. Jambo ambalo limefanyika kwa mafanikio makubwa sana!
TEC walishagundua kilichomo kwenye waraka wao kitapata vizingiti na figidu za kila aina ili usiwafikie wananchi wengi. Walitambua pia vyombo vya habari vitazuiwa kuchapisha maudhui yake
Trick ilikuwa ni moja tuu usomwe makanisani kote ambako kuna waumini mchanganyiko wa itikadi zote wakiwepo ccm kwa wingi wa idadi yao.. Yaani wamesikilizishwa mkataba bila kupenda na kwa kutulia tuli hata kama walikuwa hawataki
Walioingizwa cha jiji ni TV Imaan .. Baada ya mamlaka kuona wameshindwa kabisa kuuzuia waraka usisambazwe na kusomwa kwenye ibada za leo.. Kwa haraka wakawatafuta Tv Imaan na wasemaji wa kuuchambua waraka!
Walichoshindwa kujua ni kwamba wameongeza wigo wa watu wengine wengi kufikiwa na waraka! Yaani kwa ufupi Tv Imaan imecheza bit ya TEC kwenye kuusambaza waraka
Wachambuzi wake hawakuwa wamejiandaa
Hawakuwa na data
Hawakuwa na uchambuzi zaidi ya tuhuma za kiimani.. Kipindi kimeisha bila kutoa majibu yoyote zaidi ya kuwaongezea mshawasha watu wengi zaidi wausome waraka!