Waraka wa TEC: TV IMAAN hawakujipanga!

Wanawatumia waislsam wachache waliohongwa tende kuwahadaa waislsam wenzao.
Udini upo wapi hapo kwenye kuangalia maslai ya taifa.
Mbona waislsam ndio wanaojenga reli na bwawa la umeme kama ishu ni udini.
Wasitumie dini kupitisha mkataba mbovu
 
Waislsam wanaangalia faida fupi ya mkataba, maaskofu wanaangalia madhara baada ya mkataba.
Ni sawa na watu wawili mmoja anawaza utamu wa ngono mwingine anawaza madhara baada ya ngono yaani magonjwa ya kiroho na kimwili
 
Waraka unaopinga kuchukuliwa kwa bandari zetu zote na kampuni ya DPW kwa mkataba mbovu sana uliachiliwa juzi mara tu watuhumiwa wa kesi ya uhaini walipopata dhamana! Usiniulize kama kesi za uhaini zina dhamana!

Waraka husika umepangiliwa na kuandikwa kiweledi inavyotakikana.. Umetumia ufundi na taaluma ya hali ya juu
Umeandikwa baada ya kufanyiwa utafiti wa kina, ithibati za kutosha na umeangazia kaliba zote katika jamii kwa makundi yao.. Ni waraka uliojitosheleza mno..!

Timing iliyofanyika pia ni ya hali ya juu uliachiwa siku mbili kabla ya siku ya ibada ili uwezwe kusambazwa kwenye mtandao wake nchi nzima na kisha jana ukatolewa wito usomwe kwenye makanisa yote siku ya ibada. Jambo ambalo limefanyika kwa mafanikio makubwa sana!

TEC walishagundua kilichomo kwenye waraka wao kitapata vizingiti na figidu za kila aina ili usiwafikie wananchi wengi. Walitambua pia vyombo vya habari vitazuiwa kuchapisha maudhui yake
Trick ilikuwa ni moja tuu usomwe makanisani kote ambako kuna waumini mchanganyiko wa itikadi zote wakiwepo ccm kwa wingi wa idadi yao.. Yaani wamesikilizishwa mkataba bila kupenda na kwa kutulia tuli hata kama walikuwa hawataki

Walioingizwa cha jiji ni TV Imaan .. Baada ya mamlaka kuona wameshindwa kabisa kuuzuia waraka usisambazwe na kusomwa kwenye ibada za leo.. Kwa haraka wakawatafuta Tv Imaan na wasemaji wa kuuchambua waraka!

Walichoshindwa kujua ni kwamba wameongeza wigo wa watu wengine wengi kufikiwa na waraka! Yaani kwa ufupi Tv Imaan imecheza bit ya TEC kwenye kuusambaza waraka
Wachambuzi wake hawakuwa wamejiandaa
Hawakuwa na data
Hawakuwa na uchambuzi zaidi ya tuhuma za kiimani.. Kipindi kimeisha bila kutoa majibu yoyote zaidi ya kuwaongezea mshawasha watu wengi zaidi wausome waraka!
View attachment 2722705

Mambo matamu tumeichoka amani naona sasa tunataka kupasha kidogo
 
Kwa hiyo Watanzania wamependelea waarabu wachukuwe bandari?
Ondoeni uongo kwanza ulio kuwepo katika Waraka wenu wakudai ya kuwa Wananchi wamekataa suala, kwanza wamekataa vipi na hawakusbirkishwa lakini wengine wamesikia tu hizo habari kwa Wanasiasa wachumia tumbo na hao Maaskofu, bali wengine hawana hata habari na suala hilo.

Sasa usiniulize swali ambalo kinyume chake mnatakiwa mthibitishe nyinyi kwanza.
 
Mkuu unateseka ukiwa wapi?
Sijawahi kutekeseka juu ya suala hili, shida nimeona kelele zimekuwa nyingi, nikaamua kutoa neno na uongo mwingi kuendezwa, shida yenu viongozi wenu makanisani wamewaona Wakristo ni vichwa mchunga hawana muda wa kuhoji.

Mnaoteseka ni nyinyi na Maaskofu wenu kwa kusoma Waraka unao nadiwa kuandikwa kwa weledi huku wakashindwa kuacha nafasi baina ya maneno mawili zaidi ya mara moja. Hii inaonyesha ni kwa namna gani hawako makini, na watu wanashabikia.

Ukiwa katika uovu hata jambo dogo kama hilo la kuacha nafasi baina ya maneno mawili unashindwa kuliona.
 
Kweli ww ngozi ya tko. Kwa hiyo ww unamjua Mungu kuliko maaskofu!?
Hakuna Askofu anae mjua Mungu kunishinda Mimi, nasema tena hilo.

Kama unabisha waambie waje wathibitishe ya kuwa Sauti ya watu ni sauti ya Mungu, zaidi ya Falsafa na uzwa zwa wao mbele ya wajinga nyinyi msio jua kuhoji. Ingekuwa hivyo basi hata hao kina Yesu wasingeletwa hapa duniani.

Hapo nina uhakika hakuna hata muumini mmoja aliye taka kujua je ni kweli sauti ya watu ni sauti ya Mungu ? Unawajua watu wewe au unamjua Mungu wewe ? Halafu mnajisifia mmesoma ? Huwa nacheka sana.

Maaskofu wamekuwa wajinga kuzidi ujinga wenyewe, na ukiwa dhalimu na mzandiki lazima uwe kituko na mjinga.
 
nilijua tu lazima waislamu wenzangu huu waraka wa TEC watauchambua kwa mtizamo wa kiimani.

na ndicho kitakachokuwa kinaendelea kwenye mihadhara ya kina mazinge na mashehe ubwabwa wenzie.
 
Waraka unaopinga kuchukuliwa kwa bandari zetu zote na kampuni ya DPW kwa mkataba mbovu sana uliachiliwa juzi mara tu watuhumiwa wa kesi ya uhaini walipopata dhamana! Usiniulize kama kesi za uhaini zina dhamana!

Waraka husika umepangiliwa na kuandikwa kiweledi inavyotakikana.. Umetumia ufundi na taaluma ya hali ya juu
Umeandikwa baada ya kufanyiwa utafiti wa kina, ithibati za kutosha na umeangazia kaliba zote katika jamii kwa makundi yao.. Ni waraka uliojitosheleza mno..!

Timing iliyofanyika pia ni ya hali ya juu uliachiwa siku mbili kabla ya siku ya ibada ili uwezwe kusambazwa kwenye mtandao wake nchi nzima na kisha jana ukatolewa wito usomwe kwenye makanisa yote siku ya ibada. Jambo ambalo limefanyika kwa mafanikio makubwa sana!

TEC walishagundua kilichomo kwenye waraka wao kitapata vizingiti na figidu za kila aina ili usiwafikie wananchi wengi. Walitambua pia vyombo vya habari vitazuiwa kuchapisha maudhui yake
Trick ilikuwa ni moja tuu usomwe makanisani kote ambako kuna waumini mchanganyiko wa itikadi zote wakiwepo ccm kwa wingi wa idadi yao.. Yaani wamesikilizishwa mkataba bila kupenda na kwa kutulia tuli hata kama walikuwa hawataki

Walioingizwa cha jiji ni TV Imaan .. Baada ya mamlaka kuona wameshindwa kabisa kuuzuia waraka usisambazwe na kusomwa kwenye ibada za leo.. Kwa haraka wakawatafuta Tv Imaan na wasemaji wa kuuchambua waraka!

Walichoshindwa kujua ni kwamba wameongeza wigo wa watu wengine wengi kufikiwa na waraka! Yaani kwa ufupi Tv Imaan imecheza bit ya TEC kwenye kuusambaza waraka
Wachambuzi wake hawakuwa wamejiandaa
Hawakuwa na data
Hawakuwa na uchambuzi zaidi ya tuhuma za kiimani.. Kipindi kimeisha bila kutoa majibu yoyote zaidi ya kuwaongezea mshawasha watu wengi zaidi wausome waraka!
View attachment 2722705
Pamba za spika wa bunge ndio zinanichoshaga
 
Sijawahi kutekeseka juu ya suala hili, shida nimeona kelele zimekuwa nyingi, nikaamua kutoa neno na uongo mwingi kuendezwa, shida yenu viongozi wenu makanisani wamewaona Wakristo ni vichwa mchunga hawana muda wa kuhoji.

Mnaoteseka ni nyinyi na Maaskofu wenu kwa kusoma Waraka unao nadiwa kuandikwa kwa weledi huku wakashindwa kuacha nafasi baina ya maneno mawili zaidi ya mara moja. Hii inaonyesha ni kwa namna gani hawako makini, na watu wanashabikia.

Ukiwa katika uovu hata jambo dogo kama hilo la kuacha nafasi baina ya maneno mawili unashindwa kuliona.
ee1d182305a30d7b43bd2911de0a77fc.jpg
 
Hakuna Askofu anae mjua Mungu kunishinda Mimi, nasema tena hilo.

Kama unabisha waambie waje wathibitishe ya kuwa Sauti ya watu ni sauti ya Mungu, zaidi ya Falsafa na uzwa zwa wao mbele ya wajinga nyinyi msio jua kuhoji. Ingekuwa hivyo basi hata hao kina Yesu wasingeletwa hapa duniani.

Hapo nina uhakika hakuna hata muumini mmoja aliye taka kujua je ni kweli sauti ya watu ni sauti ya Mungu ? Unawajua watu wewe au unamjua Mungu wewe ? Halafu mnajisifia mmesoma ? Huwa nacheka sana.

Maaskofu wamekuwa wajinga kuzidi ujinga wenyewe, na ukiwa dhalimu na mzandiki lazima uwe kituko na mjinga.
Wanakutakia Jumatatu njema
IMG-20230820-WA0054.jpg
 
Ila wewe jamaa Mshana ni mdini wa kupindukia
Pole nadhani hunijui vema! Sisi Washana ni ukoo mkubwa sana na ndani yake tuna kila aina ya imani na kila aina ya dini, ila hatubaguani kwa misingi ya imani zetu, tunapendana na kushirikiana kwa kila jambo
Sisi Washana tumevuka viwango vya illusions za kitu kinachoitwa dini. Ndio maana popote sisi hujitambulisha kwanza kama WASHANA! Hili sio jina la kizungu wala la kiarabu kama hilo lako.. Washana ni Washana full stop!
 
Sijawahi kutekeseka juu ya suala hili, shida nimeona kelele zimekuwa nyingi, nikaamua kutoa neno na uongo mwingi kuendezwa, shida yenu viongozi wenu makanisani wamewaona Wakristo ni vichwa mchunga hawana muda wa kuhoji.

Mnaoteseka ni nyinyi na Maaskofu wenu kwa kusoma Waraka unao nadiwa kuandikwa kwa weledi huku wakashindwa kuacha nafasi baina ya maneno mawili zaidi ya mara moja. Hii inaonyesha ni kwa namna gani hawako makini, na watu wanashabikia.

Ukiwa katika uovu hata jambo dogo kama hilo la kuacha nafasi baina ya maneno mawili unashindwa kuliona.
Povu linalokutoka kwa nia njema kabisa likubariki wewe na ukoo wako.

Bandari ni rasilimali asili na kuondokana nayo ni wehu kiwango cha lami
 
Back
Top Bottom