Hii migawanyiko ipo siku zote, ila Inakua imeshikamana shida ni pale itakapo pingana na kuondoa mshikamano kwa sababu ya jambo flani, na unajua kinachosababisha hili kwa Sasa ni huu mkataba, na hata uwezo WA makundi kushindwa tu kujiegemeza upanda Aidha ya wanaopinga au wanounga mkono kwa kutumia nguvu ya hoja na badala yake kutumia hizo static fault katika jamii yetu ili kutafuta uungajwi mkono.Mipasuko iliyopo nchini kwa Sasa.
1. Ccm vs chadema
2. Tanganyika vs Zanzibar
3. Ukristo(Roma) vs uislamu
Tudumishe amani jamani.....
Ikumbukwe tu hakuna mwanachi WA Tanzania asiye katika kundi flani Aidha dini,kabila , Kanda ,itikadi ya kisiasa, ubara na uzanzibar kwa hiyo sio Kila anayesema kwenye jambo la bandari basi auhukumiwe kwamba analetagawanyiko kwa makundi me gine vinginevyo Kila mtu ingebidi anyamaze.