Waraka wa TEC: TV IMAAN hawakujipanga!

Waraka wa TEC: TV IMAAN hawakujipanga!

Hao ndio vilaza wakutupwa.Waweza kusoma lakini usielemika.Elimu mtu anazaliwa nao,ni kipaji.Kusoma na kuwa na elimu ni vitu viwili tofauti.Wagunduzi wengi wa mambo tunayoyatumia,hawakusoma mahali ni vpaji wamezaliwa navyo.Kwa mfano mgunduzi wa Algebra(muislamu huyu),hakusoma kokote,lakini bila Algebra,dunia ingekuwa gizani,IT yote inatumia Algebra,na kila unachokiona ni Algebra.Bado hapo hatujamgusa Avecina(ibn Sin),bado Muhammad Al Khawarizzim,na wengine weng.
Hebu lete ugunduzi mmoja,wa hawa mapadre unaosema ni wasomi.
Ukweli ndo huo kijana upende usipende
 
Kwani waraka wa KKKT tayari umeshatoka? Kwani Askofu Dr Shoo wa KKKT anasemaje?

Maana KKKT Wana misimamo Mikali kama TEC Tu...!

Mshana Jr
Ukimsikiliza Askofu Mwamakula katika speach ya kumpokea Dr Slaa toka kizuizini, inaonakana kikao hicho cha Maaskofu kilikusanya Maaskofu wote wa madhehebu ya Kikristo.
Maana aliugusia waraka huo kabla haujasomwa na Padre Kitima.
 
Kwani waraka wa KKKT tayari umeshatoka? Kwani Askofu Dr Shoo wa KKKT anasemaje?

Maana KKKT Wana misimamo Mikali kama TEC Tu...!

Mshana Jr
KKKT Hawawezi kutoa waraka, tangu walipotoa wakati wa JPM juu ya uvunjwaji wa haki za binadamu, wakapigwa na kitu kizito, kutoa waraka tena sio rahisi
 
Waraka husika umepangiliwa na kuandikwa kiweledi inavyotakikana.. Umetumia ufundi na taaluma ya hali ya juu
Umeandikwa baada ya kufanyiwa utafiti wa kina, ithibati za kutosha na umeangazia kaliba zote katika jamii kwa makundi yao.. Ni waraka uliojitosheleza mno..!

Kwanza anuani tu ya Waraka wenyewe ni uongo mtupu.

Wakristo Kuna muda tumieni akili na uadilifu, shida yenu mlinyimwa uadilifu Wakristo.

Hivi ni kweli sauti ya watu ni sauti ya Mungu ? Mungu mnae muongelea hapa ?

Mnajua Mungu nyinyi ? Sasa Kuna weledi gani katika huo Waraka muda ambao anuani tu ya Waraka wenyewe ni uongo na Haina uhalisia ?

Mnapoona Waislamu hasa viongozi wa dini mfano Masheikh zetu (namaanisha masheikh zetu sisi wamekaa kimya) mjue wana akili timamu.

Jadili kwanza ukweli kuhusu hiyo anuani inayo someka "Sauti ya watu, sauti ya Mungu".

Rekwbisheni kiti chenu kwanza, kisha mkipambe.
 
Waraka husika umepangiliwa na kuandikwa kiweledi inavyotakikana.. Umetumia ufundi na taaluma ya hali ya juu
Ufundi uko wapi ? Hivi mpaka leo viongozi wa dini hawajajua ya kuwa Demokrasia ni ushetani ?

Unakuja kujifaragua kuwa Waraka umeandikwa kwa weledi. Viongozi gani wa dini wanashindwa kufanya utafiti juu ya Demokrasia, halafu hao hao wanarejea kwenye Demokrasia ?

Viongozi gani wa dini wasio wajua watu kina nani ? Wameandika Waraka kwa kurejea au kutilia msingi ya kuwa watu wenyewe ndio msingi ? Hivi viongozi wenu ni viongozi wa dini gani ? Au Ukatoliki ni dini pweke isiyo toka kwa Mungu ?

Kuna muda bora make kimya, mtulie muache hamasa hasi.

Taaluma gani ya juu ambayo imekosa umakini wakushindwa kuacha nafasi katika nukta ya kwanza isemayo "kuwakwa".

Wakatoliki acheni ujinga, msifikiri watu hawana akili timamu kama nyinyi.
 
Umeusikiliza? Unao hapo kama hauna nakuwekea hapa kwakuwa sikuandika kwa kukurupuka

View: https://youtu.be/cTmfQqT1jGY
 
Waraka unaopinga kuchukuliwa kwa bandari zetu zote na kampuni ya DPW kwa mkataba mbovu sana uliachiliwa juzi mara tu watuhumiwa wa kesi ya uhaini walipopata dhamana! Usiniulize kama kesi za uhaini zina dhamana!

Waraka husika umepangiliwa na kuandikwa kiweledi inavyotakikana.. Umetumia ufundi na taaluma ya hali ya juu
Umeandikwa baada ya kufanyiwa utafiti wa kina, ithibati za kutosha na umeangazia kaliba zote katika jamii kwa makundi yao.. Ni waraka uliojitosheleza mno..!

Timing iliyofanyika pia ni ya hali ya juu uliachiwa siku mbili kabla ya siku ya ibada ili uwezwe kusambazwa kwenye mtandao wake nchi nzima na kisha jana ukatolewa wito usomwe kwenye makanisa yote siku ya ibada. Jambo ambalo limefanyika kwa mafanikio makubwa sana!

TEC walishagundua kilichomo kwenye waraka wao kitapata vizingiti na figidu za kila aina ili usiwafikie wananchi wengi. Walitambua pia vyombo vya habari vitazuiwa kuchapisha maudhui yake
Trick ilikuwa ni moja tuu usomwe makanisani kote ambako kuna waumini mchanganyiko wa itikadi zote wakiwepo ccm kwa wingi wa idadi yao.. Yaani wamesikilizishwa mkataba bila kupenda na kwa kutulia tuli hata kama walikuwa hawataki

Walioingizwa cha jiji ni TV Imaan .. Baada ya mamlaka kuona wameshindwa kabisa kuuzuia waraka usisambazwe na kusomwa kwenye ibada za leo.. Kwa haraka wakawatafuta Tv Imaan na wasemaji wa kuuchambua waraka!

Walichoshindwa kujua ni kwamba wameongeza wigo wa watu wengine wengi kufikiwa na waraka! Yaani kwa ufupi Tv Imaan imecheza bit ya TEC kwenye kuusambaza waraka
Wachambuzi wake hawakuwa wamejiandaa
Hawakuwa na data
Hawakuwa na uchambuzi zaidi ya tuhuma za kiimani.. Kipindi kimeisha bila kutoa majibu yoyote zaidi ya kuwaongezea mshawasha watu wengi zaidi wausome waraka!
View attachment 2722705
 
Attachments

  • 4ad25074b58940be8c7988c3d0d12642.jpg
    4ad25074b58940be8c7988c3d0d12642.jpg
    97.6 KB · Views: 1
.
 
Attachments

  • 20230820_205314.jpg
    20230820_205314.jpg
    44 KB · Views: 1
Sasa kama wakatoliki wana nguvu hiyo wanayojinasibu iweje ishindwe nguvu na serikali hadi waandishi wa habari kutoandika habari za TEC?

Kwa msingi huo ni kwamba TEC ni kakikundi kadogo mno dhidi ya dude kuuuubwaaa serikali.
 
Back
Top Bottom