Waraka wa Mmiliki wa Taifa la Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waraka wa Mmiliki wa Taifa la Tanzania

Discussion in 'Great Thinkers' started by Rev. Kishoka, Apr 12, 2010.

 1. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  April 08, 2010
  Jim Sinclair to Host Tanzanian Trip in September
  Dear Friends,

  I have received numerous expressions of interest from shareholders and other interested parties in regards to a proposed guided tour of our operations and support facilities in Tanzania.

  Of course no trip to Tanzania would be complete without a tour of the world famous Serengeti National Park, a UNESCO World Heritage Site. So we are including a selection of quality Safaris for registered attendees to select from.

  I will accompany the tour groups along with my daughter Marlene, with the two of us acting as host and hostess respectively. The travel period we are proposing falls between September 20th and October 2nd.

  There will actually be two tours, one a corporate event and the other for those with a general business interest in Tanzania. This is a once in a lifetime opportunity and based on current interest I expect the tour to fill up quickly. We will provide further details in the months ahead.

  If you are looking for investment opportunities in YOUR OWN FIELD, including industries that will benefit from the projected economic growth in Asia (natural resources being among them), think about coming with me to Tanzania. The trip will be at cost, with all discounts passed on to you. We will fly Emirates airlines via Dubai which is a pleasurable experience in itself.

  There will be various safaris offered and you will meet all the right people. This tour segment has no connection to my corporate activities as two groups will be going at different times. The general business tour will be focused solely on investment opportunities in this growing and well governed country.

  May I suggest to our farmers reading this announcement that Tanzania will give significant assistance to any substantial farming interest. With the development initiatives presently under way to grow the Tanzanian economy, it is possible that an efficient, well managed farming operation would not have to look to export.

  There is a high probability that Tanzania will be one of the safest areas on the planet over the next two decades of world change. As an extra bonus, Tanzania permits dual citizenship.

  For those of you interested in either of the above mentioned tours, please leave your name and contact details at the following email address: tanzaniatrip2010@tanzanianroyalty.com.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kauli za wanasiasa bwana!!
  Anyway , Mungu saiddia, labda kuna ndugu zetu watafaidika na hii trip, japokuwa huyu ni mfanyabishara mashuhuri, na anahitaji faida on whatever he touches!
   
 3. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Huyu ingekuwa enzi za Nyerere angepigwa PI siku nyingi sana. Aibu gani hii?
   
 4. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #4
  Apr 13, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Tanzania permits "dual citizenship"..is that why they are pushing this thing that hard uh? Ili muwe raia wa Tanzania...ili kiwe nini?
   
 5. T

  Tom JF-Expert Member

  #5
  Apr 13, 2010
  Joined: May 14, 2007
  Messages: 472
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nadhani watapenda interest zao kulindwa na second party country kuliko TZ government, si unajua tena kwetu kulivyo hata hujui rais atayefuata itakua vipi hasa kwa kua power zote anakabidhiwa. Wezi pia rahisi kutumia dual citienship, lakini hilo kwa sana ni tatizo la ufisadi wetu.
   
 6. T

  Tom JF-Expert Member

  #6
  Apr 13, 2010
  Joined: May 14, 2007
  Messages: 472
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nyerere? Kikwete pamoja na CCM yenye misingi ya Nyerere wameruhusu Wawekezaji wa nje, sasa PI ya nini hapa. Huyu mtu wala hajaja na bunduki kuchukua mali zetu, anaongea tu nasi tunaingia mkenge tukidhani tume-win lakini baada ya mikataba tu kusainiwa tunaona tulivyoumizwa na damu zinatutoka mgongoni, miguuni na mwili mzima. Labda ni ujinga wa Uongozi wa CCM - sijui wanakimbilia wapi kusaini hiyo mikataba bila kuchunguza faida kwetu.
   
 7. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  I thought members wa JF could do better than whine and complain at each and every oppurtunity.Ni vyema tukaondokana na fortress mentality kutoka ngazi ya viongozi hadi mwananchi wa kawaida.
  Mtu anayetoka nje kutaka kuwekeza ni vyema akapatana na mwananchi(vizuri akawa ameelimika) moja kwa moja kuliko kupitia watu wa kati.
  Kwa vile serikali haipo tena kwenye biashara ya uwekezaji wa moja kwa moja, ni vizuri watanzania tukajitokeza kuingia ubia na wageni bila kuogopa au kujinyanyapaa.
  Mimi nimejaribu kuingia ubia na wageni wengi na nikajikuta kuwa wengi wao(wageni) ni waganga njaa na usipo kaa chonjo unaibiwa kinamna/kiakili, lakini ukiwa makini unaweza kudhibiti hali ya kipato chako na cha taifa kwa ujumla.
  Cha msingi kwa kila mtanzania kujitahidi kuingia ubia ili kupata external inflow ya capital/finance kwa miradi nchini.Tusiwaachie tu wenzetu wenye asili ya kiasia.

  Nakushukuru Rev Kishoka kwa hiyo contact na mimi nime wa email tayari.
   
 8. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #8
  Apr 13, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,529
  Trophy Points: 280
  Asante Rev Kishoka, hii sentensi "As an extra bonus, Tanzania permits dual citizenship". mimi nilidhani ndio tunajadili halafu tuikubali ndipo tuipitishe, kumbe wenye nchi amua na walishapitisha, kinachoendelea ni mchezo tuu wa kuigiza wa rubber stamping!.
   
 9. G

  Godwine JF-Expert Member

  #9
  Apr 13, 2010
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  haa kumbe wanakuja kuchota vyetu
   
 10. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #10
  Apr 14, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Lole w Gwakisa,

  Unajua kuwa Sinclair kamilikishwa ardhi yote ya Tanzania na ugunduzi wote wa madini ni lazima aafiki na kulipwa kabla ya kampuni yeyote kuanza kuchimba?

  Ama humuelewei James Sicnlair ni nani au umeshaneemeka na anayofanya na kukimbilia kushangilia wawekezaji.

  Tumejivua uwezo kama nchi na hata mashirika kama STAMICO kuwa wasimamizi wa madini Tanzania tukampa mwekezaji na wewe unasema hilo ni bora? Huyu mtu anavuna mabilioni ya dola kila mwaka na anatugawia vi-laki kadhaa vya ahasante huku akijihakikishia kuwa anatupangia Rais mpya kila mwaka na kuwahonga Viongozi wa Tanzania unasema tuna roho kurosho?

  Labda Mkuu sikukuelewa ulichoongea na itabidi ukifafanue vizuri.
   
 11. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #11
  Apr 14, 2010
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Na Uraia Tanzania sasa ni kama njugu shambani kwa bibi
   
 12. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #12
  Apr 14, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Mkuu mimi si mshangiliaji wa uwekezaji, NAWEKEZA.
  Sasa mimi nina Primary Mining Licence(kwa The Mining Act 1998) kwa madini eneo fulani hapa nchini, iliyotolewa na Wizara ya Madini.
  Huyu jamaa James Sinclair simjui kwa sura pengine,pengine kesha pewa chumba wizarani hapo according to you.
  Tupe data za umilikishwaji huo ili tuweze kuuchambua.
   
 13. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #13
  Apr 14, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Heshima mbele mkuu. Tafadhali naomba ufafanunuzi wa hayo uliyoandika hapo kwenye red. Sijaelewa.
   
 14. k

  kingwipa1 JF-Expert Member

  #14
  Apr 14, 2010
  Joined: Jul 2, 2008
  Messages: 335
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  I think most of us missed the point.

  My take is, the guy is again insulting the nation together with the people in her. Who is thinking about wawekezaji? Invest in Tz but benefit Asia (India and Arab countries). Is that investment??

  If what he is putting forward is true then we will be stupid if we let him in. Let us protect our economy for a business with mutual benefit.
   
 15. M

  Mkora JF-Expert Member

  #15
  Apr 14, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 360
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Rev. Kishoka Nimepitia kwenye website yao yaani itabidi uombe CCM watawale maisha tuu ili kunusuru vita itakayo tokea, Haiwezekani kwa raisi asiye mwana mtandao kuvumilia huu udhalimu
  Yaani wana OWN land Tanzania wakati hata familia ya Nyerere Wana Lease ya miaka 99 au 33
  Hii kali
   
 16. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #16
  Apr 15, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Kingwipa1
  Sinclair is already in. He gets all info on mining in Tanzania even before the bunge.
   
 17. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #17
  Apr 15, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu huyu jamaa amewahi kujadiliwa kwa kirefu sana hapa JF, tafuta thread humuhumu utapata ufafanuzi!!!!!!!!
   
 18. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #18
  Apr 15, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Jasusi,

  Kama hadi leo hii kuna Wana Jamii Forum wasiomjua James Sinclair ni nani, basi tusishangae kusikia Watanzania watakaodai hawamjui Rostam Aziz, hawajasikia Vijisenti vya Chenge au Richmonduli ya Lowassa!
   
 19. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #19
  Apr 15, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Jasusi Mwanakijiji,

  Connect the dots...

   
 20. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #20
  Apr 15, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180

  Mkuu, wanasiasa waliopo wanatosha.
  Ukitaka kujua utamu wa uwekezaji ingia ngoma ucheze.
   
Loading...