Waraka wa Mmiliki wa Taifa la Tanzania

Wanabodi,
Tusiwe sana tunapinga kila kitu pazipo kuwa na ufumbuzi kwani inahitajika critical mind kuleta mantiki ktk wazo jipya ama pinzani.. ..Huyu Sinclair tunampiga madongo kwa sababu yeye ni mzungu, mgeni au kwa sababu ya deal za madini ambazo sisi wenyewe tulimkabidhi..Halafu basi kibaya zaidi naposoma habari kama hii najiuliza.. Ni watanzania wangapi wamewahi kufikiria ama kuweka tangazo kama hili? - sipati jibu isipokuwa ofisi ama agents wa Utalii walioko nchi za nje. Hata balozi moja haijawahi fanya kitu kama hiki...leo afanye mzungu iwe taabu jamani! Zipo jumuiya kibao za kitanzania huko nje lakini sijawahi sikia hata moja Ikifuata mfano wa Sinclair. sasa nakuombeni fanyeni kile mnachokiona ni halali yenu na sii kulalamika tu..

Nina hakika huyu jamaa kufikia kuandika kitu kama hiki kisha ona sisi hatuifanyi kazi yetu...sawa na wawekezaji toka nje ambao wanakimbilia Tanzania kwa sababu sisi wenyewe tumeshindwa kuwekeza ndani ya nchi yetu. Na kushindwa huko kumetokana na Utumwa wa nafsi zetu wenyewe...Sasa tunaweza sana kumlaumu Sinclair ama serikali iliyopo madarakani lakini ukweli utabakia kwamba wawezeshaji wa shughuli kama hizi ni sisi wenyewe wananchi waliopewa nafasi kutoa vibali kama hivi.
Sinclair hawezi kufanya madudu haya ikiwa sisi wenyewe tumejiwezesha kuyafanya mazuri ktk Utalii ama ujenzi wa aina yeyote wa nchi yetu. Wageni wote wanaingia hapa nchini pale sisi tumewaita wenyewe waingie kuwekeza, tumewapa mwanya pasipo kufikiria uwezo wetu wenyewe.. ndivyo ilivyo katika uagizaji wa mali zote nchini..

Tunashindwa kutoa huduma za ndani muhimu, lakini wanapokuja wawekezaji tunapiga makelele sana tu..ili mradi mtu kama Sinclair afungiwe hali sisi hatuchukui nafasi aloiacha na kufanya sawa ama zaidi ya Sinclair..Jamani mweee Vitu kama hivi mnapovisoma, jifunzeni tafuteni mbinu na uwezo wa nyie wenyewe kuwaalika wazungu nchini kwa kutumia matangazo kama haya. Sinclair akiingiza 100, wewe ingiza 10 kisha unapokwama kwa sababu ya Sinclair, basi una kila sababu ya kuilaumu serikali..
Swala la Sinclair na Tanzanianroyalty ni swala tata ambalo linatakiwa kutenganishwa kabisa na maswala mengine..Huko tulishindwa na tukayavulia maji na tukayakoga..Na hakika mtu wa kumlaumu sii Sinclair ila sisi wenyewe kwa unyenyekevu wetu ulotufikisha ktk majanga mengi tu..Sinclai hakumshikia mtu panga la kichwa kuweka sahihi mkataba unaotupa sisi asilimia 1.1 kati ya 3 za ruzuku...Ni sisi wenyewe tunaona sifa kubwa ya Unyenyekevu ambao utaukuta tu ktk tawala za kitumwa, basi na tuendelee kuwa wanyenyekevu (watumwa)...Nitarudia kusema hivi, Unyenyekevu ni sifa mbaya ya utumwa ambayo huhitaji kutumia akili isipokuwa kukubali na kuitikia Ewallah bwana!.. Huu una asili moja tu, nayo ni Utumwa..

Wakuu zangu leo nchi nzima imechukua mfumo wa kubadilisha mbegu za mazao yetu yote kufuata yale ya Ulaya (GMO)..Hadi ng'ombe wetu kuwekewa mbegu za ngombe wa Ulaya...sasa ukiuliza sababu watakwambia tunataka maziwa mengi na nyama nyingi hali wakfugaji wote nchini wanalalamikia soko dogo la nyama na maziwa nchini..hatuna soko la kutosha hivyo mnataka maziwa nanyama nyingi ili iweje?.. Na kama kweli hizo ndio sababu kwa nini tusifikirie kubwa kuliko lote?...
nalo ni - Nchi yetu inazidi kuwa maskini kila siku kutokana na uzalishaji ni mdogo wa wananchi kama Mfano wa wale ngombe, je kwanini nasi tusiwalete wazungu tukapandikiza mbegu zao kwa mama zetu, dada zetu, shangazi zetu, wanetu na kadhalika ili wazaliwe kizazi chenye uwezo mkubwa ktk uzalishaji?..kama tumeyaona mazuri kwa ng'ombe iweje tushindwe ktk hili zito la lenye maana zaidi!...maanake mifano tunayo, tumeona huko South, Mozambique, Angola na nchi kadhalika zinapochanganya na wazungu tu maendeleo hujitokeza na kufuta Umaskini haraka..Sasa isiwe mkuki kwa nguruwe ila kwa binadam mchungu...

.Hizi fikra za Kitumwa tuziacheni jamani....tuchukue muda kufanya utafii wa mbegu zetu sisi wenyewe.. Ni gharama kubwa sana lakini ndivyo tunavyogharamia elimu kwa watoto wetu. Tusichukue njia za mkato mkato kurahisisha maendeleo ambayo miundombinu na soko letu haliwezi kuvibeba..Hapakuwa na haja wala sababu ya kuupoteza mpunga wa Mbeya kwa ule wa China..Huko Ukerewe tulikuwa na mbegu nzuri sana za Fire na Super (Thailand rice), Kahogo (long grain) leo hii ni historia.. na kibaya zaidi mbegu walizotuletea sii tu zinaweza ota popote,ni lazima kutumia mbolea ambayo inaua kabisa uwezo wa shamba hilo hilo kupanda mazao mengine wakati wa kiangazi pasipo mbolea.. Hii nayo tumeipata kwa wazungu wengine kina Sinclair wanaokuja shukua sii dhahabu na madini ila ardhi yetu iliyobakia na kturudisha utumwani..hakitaota kitu isipokuwa kwa mbolea ya mzungu, sasa huu sii kurudishana utumwani jamani, iwapo hata chakula chetu kitategemea mbolea ya mzungu..leo mnahofia mtu kama Sinclair?..
 
Kingwipa1
Sinclair is already in. He gets all info on mining in Tanzania even before the bunge.

We have inactive leaders, people who are stupid and knows nothing.
I'm sorry if I have offended you with my language, but I have no other way to put it forward.
Sometimes I sit and pray that changes come to this country.

Not only Sinclair, but there are others of his type. One is Dewj family, who one day mentioned to own the land of Tabora and part of Singida. He stressed that before an American guy who was seeking a place to take his company. I was there hearing the boasting of the guy as he was seeking partnership in the business. He said "I own the region in my hand, I can do whatever I want to do in that land".

Yeah, we have allowed them to rule us. With this little knowledge we have we will remain poor in the vicious circle. But we have time to act, push out the rulling party and her leaders who are vandalizing our eonomy with no reason.

This is the time to act


Tanzania wake up!!!
One day we will sing a true song of freedom

 
April 08, 2010
Jim Sinclair to Host Tanzanian Trip in September
Dear Friends,

.......There is a high probability that Tanzania will be one of the safest areas on the planet over the next two decades of world change. As an extra bonus, Tanzania permits dual citizenship.......

Kumbe zile kampeni za Mh Membe TBC mwezi Januari 2010 kuwa Tanzania iruhusu dual citizenship zilikuwa ni kutimiza matakwa ya huyu Mlanchi na Mfadhili wao!
 
Hivi msafara huu hauogopi pilikapilika za uchaguzi kama vile Ubalozi wa Australia nchini Kenya ulivyotangaza kuhusiana na 'uwezekano wa hali ya dharura' Tanzania?!
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom