Waraka wa Maaskofu Katoliki kuhusu uwekezaji Bandarini wasomwa kanisani

Nchi haitokuwa na watu hawa ambao wanaume hatawaki kuoa 😅😅ila waangalia porno za computers kanisa.
 
Wamekuja hapa watu wajinga kama wewe, wameandika hoja zao za kijinga kama hizi zako, tumezisoma, tumewajibu.

Hivi nyie mnaosema TEC ilikuwa kimya wakati wa awamu ya tano ya Magufuli ni kwamba mlikuwa mmekufa ndio mmefufuka awamu hii ya Rais Samia au ndio mmezaliwa juzi?

Kwa nini msijikite kweye kujibu hoja zao
Haya maujinga mnaleta sijui yametoka wapi? jikiteni kwenye issue ya bandari nyie chama cha mambuziiii
 
F36D3OgXMAAWl-V.jpeg

Haya ndio matokeo ya kudharau maoni ya wengi, sasa tatizo limezidi kuwa kubwa zaidi, hii ni sawa na dalili za ugonjwa zilizomfika mhusika kwa muda mrefu akazipuuzia, sasa ugonjwa ndio umesambaa mwili mzima.
 
Timu Pinzani inazidi kufanya substitute lakini bado milango ni migumu sana

walianza Wanaharakati, wakaingia wasomi, wakaja Chadema na wainjilist na sasa kaja mwenye vifaranga wake TEC

dakika ndio kwanza ya 15 kipindi cha kwanza

Tunawakumbusha tu hii marathon ni ya km 420 sio 42
 
Timu Pinzani inazidi kufanya substitute lakini bado milango ni migumu sana
Uzuri ni mabingwa wa kufuata upepo, typical CHAWAz.

Mmeshabadilika mara kadhaa sasa kwa mtu wenu huyo huyo....Mungu awasaidie tu msije kubadili visivyoruhusiwa kubadilika.
 
Huoni madhara ya hiyo substitution kwa upande wenu, vile inavyoonesha wanaolielewa tatizo mlilotengeneza wanavyoongezeka?

Hili jambo ni zaidi ya mipasho, msidanganyane.
 
Uzuri ni mabingwa wa kufuata upepo, typical CHAWAz.

Mmeshabadilika mara kadhaa sasa kwa mtu wenu huyo huyo....Mungu awasaidie tu msije kubadili visivyoruhusiwa kubadilika.
Hahahaha

Pole Mzee!

Ukiingia kwny Box unaweza ukajiona Mkubwa sana kwa kuwa umeenea kwny box.
 
Kuna clip nimeisikia mzee wa msoga anawaomba TEC wasichanganye dini na siasa,
Nikajiuliza kwanini asimshauri bi mdogo aachane na mkataba
 
Katika ibada ya leo katika kanisa Katoliki jijini Dodoma Parokia ya St. Augustino alikosali Makamu wa Rais Philip Mpango, alionekana kufurahia waraka wa Baraza la Maaskofu, TEC.

Uso wa Mpango ulionekana kujaa bashasha wakati waraka ukisomwa. Nikajiuliza maswali kadhaa. Je, Mpango anaunga mkono waraka huu unaopinga msimamo wa Serikali anayoongoza? Je, Mpango yuko against na Rais Samia Suluhu Hassan?

Je, Mpango anafurahia mashambulizi dhidi ya Bosi wake Samia? Je, naye hajui atetee waraka au mkataba? Mpango ni mkatoliki "Lia Lia".
 
Back
Top Bottom