Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,237
amna...pengo si yupo mle ni mtu wa system?.....watamuogopaCjui Kama hawataambiwa wakatwe kodi kwenye sadaka
amna...pengo si yupo mle ni mtu wa system?.....watamuogopaCjui Kama hawataambiwa wakatwe kodi kwenye sadaka
Wosia aliotuachia Baba wa Taifa unazidi kuunguruma dhidi ya huyu mtu dhalimu na kaburu mweusi.
"Tujenge Utamaduni wa kuthibiti Viongozi wetu kama wanavunja sheria za nchi, TUSIOGOPE. Mkianza na mkiwa na woga I PROMISE YOU mtatawaliwa na dictators I PROMISE YOU mkiogopaogopa namna hii nyinyi Wabunge, nani wote na kusema Mzee wanakuwa wakali then you're making absolutely_____ that you'll be under a dictatorship." Baba wa Taifa.
Alipokuwa katibu mkuu wa TEC alikuwa wa kwanza kuwa anasoma nyaraka kama huu.
Hii Rafiki hata TBC hutokaa uisikie na kuna siku hata Youtube itafanyiwa editing ni vizuri tuaziweka vyema hizi record
Wa Kakobe cha mtotonahisi huu utakuwa sindano ya moto kama ule wito wa kutubu wa Kutubu wa Kakobe
Utube mbona wameshaanza kufuta vitu vingi wasivyovitaka na hata google baadhi ya habari za siku za nyuma ambazo zilikuwa zikipatikana kule sasa hivi hazipatikani.
Kuna siku CCM watalia na kusaga meno ni muda tu
Hili balaa sasa,viongozi wa dini wakisisitiza jambo,inanikumbusha nguvu za kabisa Poland,kupingana na serikali ya kijamaa ya wakati ule,kanisa katoliki,lilianza hivhivi,cha ajabu mkuu wa mkoa mmoja,anawaamulia watu wa nchi nzima,hakuna bunge wala demokrasia inayoheshimiwa,ati yeye kaletwa na Mungu,hahaaa.Umeupata wapi Mindi? Mindi
Hebu thibitisha hili.Huo waraka ni tamthilia ya kaniKa Katoliki hiyo. Magufuli wamemweka wenyewe . CCM ni mali ya kanisa Katoliki
Tuombe iwe hivyo tuondokane na hawa wahuni, wezi, mafisadi, watoa rushwa na wauaji.
Sasa demokrasia inahusika nini na kubebwaKwa kawaida ukiona tu Walaka zimeanza kutoka ujue Kisu Kimegusa mfupa.
Kwa sasa hamna namna inabidi watulie tu Dawa iingie vizuri, mambo ya "NIBEBE NIBEBE" hayana nafasi Utawala huu.
Usiongee usichokijuaKwa hiyo Baraza la Maaskofu limegeuka kuwa msimamizi wa mambo ya siasa? Kanisa limewashinda, week iliyopita tumeona wanamzika Kingunge lakini kwa walala hoi angezikwa kama hana thamani. Leo hii wanatoa wapi moral authority ya kujidai wanajali usawa?