TEC: Wizi wa kura na watu kukatisha maisha ya watu wengine ni donda ndugu nchini na Afrika

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,034
Baraza la Maaskofu Katoliki nchini Tanzania katika Waraka wake wa Kwaresma limesema Wizi wa Kura na Watu kukatisha Maisha ya Wengine ni Donda ndugu nchini Tanzania na Africa

TEC imesema kinachosababisha Hili Donda ndugu ni Watu kutomjua Mungu na Tamaa za Uongozi wa Kisiasa kwa Maslahi Binafsi na ya kifamilia

Chanzo: Mwananchi
 
Hadi Rais akiwa mkatoliki ndo malalamiko ya Tec yanapotea na ghafla nchi inakuwa ya Amani na utulivu....
Una utimamu wa kumbukumbu au kichwani huwa kumbukumbu zinakuja na kupotea?

Hivi Magufuli alikuwa muislam?

Sidhani kama TEC imewahi kutoa waraka wenye lugha kali na thabiti kama wakati wa uongozi wa Magufuli. Kwa hofu, Kadinali Pengo mpaka aliamua kujitenga na waraka huo akidai kuwa sahihi iliyopo kwenye waraka huo hakuiweka yeye!

Marehamu alichukia mpaka kugikia hatua ya kuamua kuzitoza kodi shule za kanisa na hata magari yaliyokuwa yamiingizwa na Kanisa kwaajili ya huduma za Kanisa.
 
Hadi Rais akiwa mkatoliki ndo malalamiko ya Tec yanapotea na ghafla nchi inakuwa ya Amani na utulivu....
Hata wakati wa utawala wa kidikteta wa Magufuli, TEC walitoa waraka wa aina hiyo wa Kwaresma; kiasi cha kupelekea Askofu Severin Niwemugizi kuanza kuchunguzwa na uhamiaji kuhusu uraia wake.

Nimeona niweke tu kumbukumbu sawa.
 
Na mwingine aliibuka kivyake.
Screenshot_20230821-193049.png
 
Baraza la Maaskofu Katoliki nchini Tanzania katika Waraka wake wa Kwaresma limesema Wizi wa Kura na Watu kukatisha Maisha ya Wengine ni Donda ndugu nchini Tanzania na Africa

TEC imesema kinachosababisha Hili Donda ndugu ni Watu kutomjua Mungu na Tamaa za Uongozi wa Kisiasa kwa Maslahi Binafsi na ya kifamilia

Source: Mwananchi
Makonda na CCM
 
Hawa TEC ni wapumbavu na wajinga hebu waache maneno kama mashoga
 
Back
Top Bottom