Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,907
- 1,081
Mkandara na waislamu wengine katika jukwaa hili mnajidanganya.
Mnajaribu kulifanya jambo hili ni la kidini na hapo ndipo napenda kuwaambia kuwa waraka upo, unaeleweka hata kwa sie tusio wa-RC. Tumeusoma na kuuelewa hata kama mnataka kutushawishi vinginevyo.
Na kama nia yenu ni kutuingiza katika hoja za uchaguzi kupitia dini, basi na tufanye hivyo tuone kama waislamu mtashinda. Sorry nimeamua kusema hivyo baada ya kupitia series ya post zako zenye muelekeo wa dini tupu.