Waraka: Kanisa Katoliki laandaa waumini uchaguzi 2010

Status
Not open for further replies.
This is a good start, I know the Catholics are organized with the right infrastructure in place ranging from parokia, vigango, jumuiya ndogo ndogo and mashirika ya kitume. these structures they penetrate right to the grassroot. I read their programme document is well written with clear result chain, log frame and indicators for success. The ProDoc also is subject to periodic reviews to gauge results. The programme has got nothing to do with religion,,,it is about civic education and election of leader who have national interest in their heart. Mind you also the Church has dioceses and arch-dioceses as well as an apex forum called Tanzania episcopal council(TEC) at the national level. They also have the SECAM an apex regional board in african which is currently chaired by Cardinal Pengo. This is just an example of a sound programme which has the right institutions in place and there is a good reason for all mafisadis to fear the rolling out of this programme. Just a tip to this the church is also well resources with well trained leader. They have in place a well disciplined and a stable bureaucracy which commands moral authority right from top to jumuiya ndogo up to the family...POLENI MAFISADI THAT IS JUST THE TIP OF THE ANALYSIS.
 
Wakuu, Kanda2 na Abdulhalim,

Kwanza nimewapongeza wote kwa yote muloyasema kwa kuwa naona kama wote munazungumza lugha moja lakini hamuelewani na hilo naona si jambo jema hata kidogo kwenu, kwetu na kwa wana JF.

Kati ya muliyoyaweka humu, baadhi yanaweza kufaa kuzingatiwa na kufanyiwa kazi, na mengine yanaweza kuvuruga mjadala mzima na kuanza kubishana badala ya kuangalia nyuma ya pazia ya hoja ya msingi.

Hapa ni lazima tukubaliane jambo moja ZITO, kwamba kila jambo unaweza kulitumia kwa manufaa ya wengi kulingana na mbinu za kimkakati ulizo nazo. JF inasimamia mapambano mapya ya ukombozi na kwa hili lazima tuitumie hoja husika kufanikisha mapambano husika. Rejeeni maelezo ya mkuu Mkandara.

Mkuu Halisi,

Ndio maana nikamwambia huyo dogo atulize ball ujumbe umefika, yeye kang'ang'ania tu tuma PM as if hiyo command kwenye pc haipo.
 
Uongozi kwa kweli unatoka kwa Mungu kama alivyokuwa amesema yule askofu. Hakukosea. Ni kweli tupu. Lakini aliyechaguliwa na Mungu anabaki kuwa mwanadamu, akiwa na akili na utashi wake, vipaji na kasoro zake za kibinadamu. Hanyang'anywi vitu hivi ndiyo maana siku ya kusimikwa tunamwombea wote (wa dini mbalimbali) kwa MUNGU aweze kutuongoza vizuri kwa hekima, busara, haki na upendo.
Katika kuongoza lazima atumie hekima akisaidiwa na vyombo mbalimbali vya nchi (jamii) vilivyowekwa kwa mujibu wa sheria kumsaidia katika utendaji wake kulingana na katiba ya nchi. Kiongozi huyu akifaulu, tunamshuru Mungu kwa kazi nzuri. AKISHINDWA, tunaumia na kusikitika. Lakini haina maana kuwa hakuwa chaguo la Mungu. La hasha! Alikuwa ni chaguo la MUngu lakini kama mtu huru na pia mdhaifu ametumia vibaya uhuru wake na kuacha udhaifu umzingire na kushindwa kufanya majukumu yake kama ilivyotakiwa. Kumbe kushindwa kufanya vizuri hakumfanyi asiwe chaguo la Mungu. Si kweli! Ona hata katika maandiko matakatifu (Biblia) mfalme Sauli alikuwa chaguo la Mungu la kuwaongoza Waisareli lakini akashindwa kutumia vizuri uhuru wake akafanya madudu. Mungu huyohuyo aliyemweka akamwadhibu kwa kumyang'anya utawala na kumpa Daudi. Kuwa chaguo la Mungu hakuondoi uhuru wa mtu wa kutenda mema au kutenda madudu!
 
Kanisa Katoliki kama Taasisi nyingine nyingi hapa nchini ni mdau wa mambo mengi, mf. afya, elimu, nk. Naamini ni mdau pia katika mambo ya Siasa, si katika maana ya kuwachagulia wananchi viongozi bali katika maana ya kutoa elimu ya uraia ambayo kwa jinsi ilivyo haifungamani na dini yoyote. Ni elimu ambayo ingeweza kutolewa pia madhehebu na dini zingine. Elimu hii ya Uraia ni elimu inayomlenga mtu yeyote: awe Mkristo Mkatoliki, au Mkristo yeyote, au mtu wa dini yoyote yule.
Kwa hiyo Kanisa Katoliki kuamua kutoa Elimu hiyo kwa waamini wake mi sioni shida iko wapi kama kwa kufanya hivyo halivunji Katiba ya nchi. Elimu hii inapaswa kutolewa kwa watu wote bila ubaguzi. Haina maana kwamba asiye Mkatoliki hapaswi kushiriki elimu hiyo. Naamini vitabu hivyo havikuandikwa kwamba visomwe na Wakatoliki tu. Kila mtu anaweza kusoma na akapata elimu hiyo nzuri. Nina uhakika hakuna usiri wowote katika maandiko yao. Kanisa lingekuwa na nia mbaya lisingeweka mambo hadharani. Kumbe venue za kupata elimu hiyo ni nyingi tu: kwa kusoma kitabu chenyewe au pia kwa kusikiliza mafundisho hayo kupitia kwa viongozi wa Kanisa. Kumbe asiyeweza kwenda Kanisani anaweza bado kupata elimu hiyo isiyobagua yeyote kwa content yake kwani haina udini wowote wala upendeleo wa Chama chochote.
 
Hili jambo tunahitaji kuliangalia kwa makini zaidi pengine kuliko tunavyoliona sasa.
Mimi binafsi bado naamini bado kuna shida kubwa kwenye swala zima la elimu kwa wapiga kura. Bado sijasikia vizuri kile ambacho kanisa Katoliki limeamua kufanya mwaka huu, lakini naona bado ipo haja kubwa sana ya hicho wanachotaka kukufanya. Watanzania tunapoteza sana haki zetu kwa sababu ya ujinga mdogo mdogo.
 
watu kama hawa mi ndio nisio waelewa kabisa sera nzuri mno yani kama ni mwana siasa kura yangu unapata. anyhow there's nothing on that report that other members of JF haven't raised before. the problem with some people tend to ignore that Tanznania is a circular society unajua kwa mlio nyumbani let me tell you msione kwenye TV ugomvi uliotokea kwenye uchaguzi wa Kenya. Mi namjua rafiki yangu mkenya ambae ni fundi mekanik wa gari agusi gari la Mkenya mwenzake eti kwa kua si mkikuyu ebu angalia huo ni upuuzi wa mawazo. kama dini ni belief it should remain a belief to those who choose to follow it freely. But once you start bringing political ideas into it, then the subjects (followers) of that religion begin to associate the political struggle with faith, suppose the other religions follow the same stream then instead of having political party you have religous parties and dividing the society based on their beliefs first think first before you talk pls keep religion far far far away from politics.

Mungu Ibariki Tanznania
 
You said it all. Pamoja na dhamiri na mipango inayo sound gud but still gud to them not to the majority of Tanzanians. It is a gud program to the wrong institution Tanzania being a circular government it should be neutal to all issues related to governance/executives; legislation/Bunge and Judiciary/Mahakama. I take it as double standard kwa watu kukataa mahakama ya kadhi na kukubali kanisa katoliki kama institution ya kidini ku peleka elimu ya uraia kwa raia wa Tanzania ambao mbele ya katiba wote ni sawa. kama itapeleka elimu hiyo kwa baadhi ya raia ambao ndo wanahusika nao ki sheria vipi hao ambao hawapo under custodianship yao? Siyo kuwa watakua wamebaguliwa? Wao wahubiri dini/imani ndiyo haki yao kikatiba maswala ya elimu ya uraia waache institutions zenye legitimacy zifanye hivyo. Otherwise its out of selfishness na being a christian thats not Jesus kind of doing things its a selfish motive to attain whatever they dont want us to know which is against christian faith of loving your neighbour well as u do to ur self for this case people of other believes are the so called neighbours. Wasitugawe we still need to enjoy our unit and love. Kama ufisadi waukemee ndani ya makanisa na kuonya waumini wao mbona inapofika hapo wana shy away? Most of the condemed are their members if they can deal with them tutakuwa na better system kuliko kupanda mbegu ya udini na chuki kwa selfishness ya in the name of elimu kwa mpiga kura.
 
Nadhani kufundisha Elimu ya Uraia si Kuhubiri Dini ya mtu fulani. Elimu ya Uraia ina misingi katika Utu wa Mtu na wajibu wake na haki zake kwa taifa lake na jamii yake kwa ujumla. Elimu hii inaweza kutolewa na mtu YEYOTE alimradi havunji Sheria ya nchi. Sheria gani ya nchi inakataza Kanisa kufundisha Elimu ya Uraia?

Shida ni hofu kwamba hao viongozi wa Kanisa wanaweza kuingiza mambo ya dini yao katika kutoa elimu hiyo. Mi siamini kama wanaweza kufanya hivyo kwani elimu hiyo haitolewi kwa kificho, sirini. Inatolewa mahali wazi ambapo yeyote anaweza kufika. Nasema hata kama ikitolewa Kanisani si mahali pa kificho kwani kama kuna jambo baya litajulikana tu.

Mi nafikiri kama wanatoa elimu ya uraia TU, na si kuwachaguliwa watu viongozi, sioni shida iko wapi! Tena mimi naona hata madhehebu mengine yangeweza kufundisha elimu hii kwa waamini wao. Watu wanahitaji elumu hii kwani wengi hawajui kitu kabisa. Nani aanze kuwafundisha watu hawa? Mnasema vyombo vinavyohusika viachiwe kazi hiyo. Vyombo gani? Mbona haviamuki tuvione? Je, visipoamka mnaona aheri watu wabaki ujingani?Walau hao wenzetu wameanza kitu. Tuwapongeze na kuwaunga mkono.
 
kanisa wangeanza na wale wakatoliki waliofikishwa mahakamani kwa tuhuma za UFISADI

sasa wameshindwa kuwaasa waumini wao ndio wataweza kuwaasa wengine au basi tuu?
 
Naona unaunga unga vipande visivyohusiana ili kukidhi conclusion yako uliyokwisha ijenga tayari kichwani mwako. Inasikitisha mtu anapoweza kupoteza muda kukusanya vipande vipande vya habari nusu ili kubomoa badala ya kuutafuta ukweli utakaomuweka huru.

Wahenga wanasema chuki na husda huziba milango ya fahamu na umedhihirisha hili ndani ya post yako kuhusu hoja yako 'Chaguo la Mungu', mwenyewe umeiweka hii..lol
Kama jinsi vile milango yako ya ufahamu, ilivyoziba kutambua kweliya M'Mungu.
Ila tuendelee kujadili mpaka tudhihirishe kuwa chuki na upeo finyu wa baadhi ya wachangiaji ndio hasa tatizo na wala sio lengo-mama lililotangazwa na kanisa kama lilivyonukuliwa ktk post ya kwanza.
Kanisa linawataalisha waumini wake ili waje mpigia kula kama sio kura, chaguo lingine la mungu, kama si huyu aliyekuwepo.
 
Nadhani kufundisha Elimu ya Uraia si Kuhubiri Dini ya mtu fulani. Elimu ya Uraia ina misingi katika Utu wa Mtu na wajibu wake na haki zake kwa taifa lake na jamii yake kwa ujumla. Elimu hii inaweza kutolewa na mtu YEYOTE alimradi havunji Sheria ya nchi. Sheria gani ya nchi inakataza Kanisa kufundisha Elimu ya Uraia?

Shida ni hofu kwamba hao viongozi wa Kanisa wanaweza kuingiza mambo ya dini yao katika kutoa elimu hiyo. Mi siamini kama wanaweza kufanya hivyo kwani elimu hiyo haitolewi kwa kificho, sirini. Inatolewa mahali wazi ambapo yeyote anaweza kufika. Nasema hata kama ikitolewa Kanisani si mahali pa kificho kwani kama kuna jambo baya litajulikana tu.

Mi nafikiri kama wanatoa elimu ya uraia TU, na si kuwachaguliwa watu viongozi, sioni shida iko wapi! Tena mimi naona hata madhehebu mengine yangeweza kufundisha elimu hii kwa waamini wao. Watu wanahitaji elumu hii kwani wengi hawajui kitu kabisa. Nani aanze kuwafundisha watu hawa? Mnasema vyombo vinavyohusika viachiwe kazi hiyo. Vyombo gani? Mbona haviamuki tuvione? Je, visipoamka mnaona aheri watu wabaki ujingani?Walau hao wenzetu wameanza kitu. Tuwapongeze na kuwaunga mkono.

Kanisa linataka kwenda nje ya mstari na hii ni hatari sana mimi kama mkristu ntalipinga kwa nguvu zangu zote. Kama lingefanya kazi yake ya kumwingiza kristo ndani ya mioyo ya waumini kwa uaminifu basi mafisadi wangekuwa wanapatikana kwenye imani nyingine na si kwa wakatoliki na labda wakristu kwa ujumla. Hiyo kazi hawaifanyi kama Yesu anavyoelekeza sasa kama wameshindwa kutoa evil spirits ambayo ndo hasa kiini cha ufisadi wataweza kupeleka elimu sahihi kwa raia? Wafanye kazi ya imani kwa uaminifu na mengine yatafuata, kanisa halina nguvu zaidi ya Yesu kama yeye hakuhitaji mafarisayo wala waandishi kubadili tabia za watu iweje leo wale walio wake wafanye tofauti na yeye aliye mwanzilishi wa hiyo kazi? Kama ni imani basi mwongozo wetu unatuambia vita vyetu si vya damu na nyama bali katika ulimwengu wa roho zidi ya mapepo wabaya hii ni pamoja na roho ya ufisadi haiondolewi kwa elimu ya kuchagua kiongozi bora bali kuuondoa uovu huo ndani ya hao watakao kuwa viongozi ili kuwepo na pool kubwa ya expected viongozi bora. By the way hao bora watatoka wapi wakati kazi ya kuwafanya wawe bora imetelekezwa na haohao wanaojidai wanafundisha watu kuchagua viongozi bora? What a deception? Tufanye research tuone walioko kwenye mihimili yote mitatu wakatoliki ni % ngapi hao tu wangekuwa waaminifu ufisadi ungepitia kona ipi? Shule zote bora ni seminari za katoliki implying wasomi waliobobea wana mkono wa kanisa katoliki wako wapi hao kama kweli wana Yesu huyu tunaemwamini wawasaidie watanzania wanaogelea kwenye wimbi la umaskini? U wapi upendo wa agape? Let us not be deceived if we can not do well in spirit how can we manage canal things? Kanisa fanya kazi yako ya ku-cast out devil inside the people if u do it well viongozi bora ni automatic; Paul said injili ina nguvu ya kujitetea yenyewe haihitaji inticing words from human being. It has power and by that power u r also going to be consumed by the fire of holly spirit if u will continue with your selfish motives. Being a christian I will never let the name of Jesus to be mis-used.
 
WAGALA bwana wao wako bize na non issues kila kukicha

wezi serikalini ni wao halafu leo wanataka kutupatia somo la uraia

sasa kama wao wanataka kutoa somu wale HAKI ELIMU wafanye nini?

wezi na mafisadi karibuni wote waliofikishwa mahakamani ni hao hao vijana wa Kanisa

washashindwa kutangaza injili sasa hawa
 
Mwingine huyu .. Chuki inamfanya mtu anakuwa mpumbavu wa kutupa, and this is typical highest idiocy. Sasa wale wezi wanaoiba kokote kule sijui huwa wanatumwa na dini na madhahebu yao? Au mwizi akiiba mahali dini au dhehebu ndilo linakuwa responsible?

Akili matope kabisa hii..lol

Nway, wakati unahesabu wezi na imani wanazonadi kuzishikilia ungeleta takwimu kabisa za jina la mwizi, dini au dhehebu lake, na kiwango cha hasara alicheletea taifa..ili tuweke rekodi zetu vizuri.
 
kanisa wangeanza na wale wakatoliki waliofikishwa mahakamani kwa tuhuma za UFISADI

sasa wameshindwa kuwaasa waumini wao ndio wataweza kuwaasa wengine au basi tuu?

Mazee usiwapangie nini wafanye, kama wameona kutoa elimu ya uraia italeta impact kubwa zaidi hilo jukumu lao. Wewe endeleza kijiba cha roho lakini wao wanapeta tu na huna lolote la kuwafanya.
 
Kama jinsi vile milango yako ya ufahamu, ilivyoziba kutambua kweliya M'Mungu.

Duh..bua ha ha ha..Sasa hiyo kweli ya Mungu inahusiana vipi na thread hii mazee?

Kanisa linawataalisha waumini wake ili waje mpigia kula kama sio kura, chaguo lingine la mungu, kama si huyu aliyekuwepo.

Hujui unachoongea..nachelea kuwa ntapoteza muda wangu kujibizana na Paster ambaye hawezi ku-process anachokisoma au kukikopi.

BTW, unaweza ukajenga utaratibu wa kuchek spellings zako kabla hujaleta hivi vituko vyako hapa jamvini.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom