Waraka: Kanisa Katoliki laandaa waumini uchaguzi 2010

Waraka: Kanisa Katoliki laandaa waumini uchaguzi 2010

Status
Not open for further replies.
Bwana Philemon ukitakak umjua mtu mwenye akili na busara mwangalie anapozumza mbele za watu. Huyu mchungaji namsikiliza siku moja moja na nilishaconclude mbele ya familia kwamba huyu jamaa nimbabaishaji na hana akili kabisa kwanza sijui kama kamaliza std vii. I doubt kwa sababu ni mara nyingi amekuwa akikandia wachungaji wengine na kuona kuwa yeye ni bora kuliko wengine. Kuhusu wajibu wa viongozi wa dini yeye kama kiongozi hajui wajibu wake wa kuhakikisha kuwa waumini wake wanatakiwa wawe na maisha bora ndo waweze kumtumikia Mungu. Je anajua uongozi mbovu unaharibu uchumi kitu ambacho kinaweza kumpelekea yeye akakosa sadaka za waumini wake watakapo kuwa wamekataa tamaa na maisha. Anataka kuona waumini wake wanashindwa kwenda kanisani kwa kukosa lishe na nguo. Hana akili kabisa narudia tena.
 
Kama wanadocuments za umiliki wapewe kuna shida gani?, hata IKULU pia ilijengwa na wajerumani kwa misingi ya kiislamu nayo irudihwe kwa waislam. Ila nijuavyo mimi mikataba mingi ya umiliki wa ardhi wakati wa ukoloni ilikuwa ni 33 years na leo tuna miaka 48 toka uhuru.
Tehetehekreewikwikwikwi, kumbe ndo iko hivyo. KWA UPANDE WANGU, naomba isiwe hivyo, tuishi tu kwa amani. lakini, point of correction, kama unasema ikulu ilijengwa na wajerumani, ikulu ina connection gani hapo, ikulu si selikali kwani ni mission au cathedral hiyo? na hata kama wangetoa, si ndo ingekuwa bora sasa wahamie Dodoma..

ila kwa kusema ukweli, nafikiri haya yote yanaibuka tu. cha maana hapa, piga chini mahakama ya kadhi, oic, na pia piga chini mkataba wa kusaidia shule za kidini(ambao haujawahi kusaidia shule hata moja, ni mkataba hewa tu). ili tuishi ktk selikali isiyokuwa na dini kama mwanzo.

ila kama waking'ang'ania, WAKRISTO KAMWE HATUTAKUBALI.
 
'Ubungubungo' acha Udini! Why don't you be neutral? Umeusoma waraka au unachomoka tu kama risasi ndani ya bunduki? Umesoma sehemu ambayo waraka huo unagusia swala la OIC na Mahakama ya kadhi nchini? Be materialist. WanaJF msijadili vitu ambavyo hamjavisoma ili msionekane vilaza kama Ubungoubungo! Eh eh teh teh Shule babu! Mzee Kingunge anaweza kuwa sahihi, likely to Prof. Lipumba and conversely to Catholic church, UPO! Cogitate before you sail!
 
Kama wanadocuments za umiliki wapewe kuna shida gani?, hata IKULU pia ilijengwa na wajerumani kwa misingi ya kiislamu nayo irudihwe kwa waislam. Ila nijuavyo mimi mikataba mingi ya umiliki wa ardhi wakati wa ukoloni ilikuwa ni 33 years na leo tuna miaka 48 toka uhuru.

Ooops! So long as it had an Islamic-style arches means that it belongs to Islam?! Kaaazi kwelikweli, anyaway "Miafrika ndivyo tulivyo" - NN
 
Ooops! So long as it had an Islamic-style arches means that it belongs to Islam?! Kaaazi kwelikweli, anyaway "Miafrika ndivyo tulivyo" - NN

Yes in deed. Germany new that the whole EA coast was belong to Muslims after the first colonialist(Arabs) passed, remeber History?. So to have legitimacy Germany decided to build a mosque like building to convice these people that, we are here for a while and once we leave this building will be yours.

IKULU ni ya waislamu tuwarudishie jamani, kwa misingi ile ile ya kurudisha shule za wakatoliki. Kwa nini wajerumani hawakuweka misalaba kwenye jengo la IKULU?. Kweli kurudisha shule za wakristo ni halali yao kama ambavyo waislamu nao wanapaswa kupewa IKULU yao waliyojengewa na wajerumani.
 
kwani wajerumani walijenga shule gani wewe rafiki? wajerumani walileta dini gani wakati wa ukoloni? hebu tofautisha mambo rafiki yangu. funguka akili aisee.
 
wakiwarudishia mtajenga shule?mbona hata kile kiwanja manji alichowaibia, mnashindwa hata kujenga kachuo tu pale mjikakamue? tunawabeba halafu mnajifanya za kuleta.
 
'Ubungubungo' acha Udini! Why don't you be neutral? Umeusoma waraka au unachomoka tu kama risasi ndani ya bunduki? Umesoma sehemu ambayo waraka huo unagusia swala la OIC na Mahakama ya kadhi nchini? Be materialist. WanaJF msijadili vitu ambavyo hamjavisoma ili msionekane vilaza kama Ubungoubungo! Eh eh teh teh Shule babu! Mzee Kingunge anaweza kuwa sahihi, likely to Prof. Lipumba and conversely to Catholic church, UPO! Cogitate before you sail!

Malima una matatizo wewe sasa .OIC na Kadhi si mambo ya kitaifa wala hayahusu maisha ya kila ya Mtanzania .Lipumba na wewe mnaongelea udini na mambo ya waislam Waraka unaongelea mambo ya Kitaifa na watanzania .Mimi ni muislam lakini kadhi na OIC mie si maisha yangu ya kila siku kuna vitu vya maana .
 
Wakati tukiendelea kuparurana na kutoleana mapovu midomoni mwetu,Chama Cha Mapinduzi na Mafisadi wamepata ahueni,na wanatumia nafasi hii kujiimarisha.

Kila uchao,magazeti yanapambwa na habari za waraka wa maaskofu na mahakama ya kadhi,hivyo kugeuza "attention" ya watu wote waliokua na usongo na mafisadi kurukia katika hoja hizo mbili.

Ndugu zangu,TEC wamekua na utamaduni wa kutoa machapisho,matamko na nyaraka mbali mbali kabla na baada ya chaguzi kwa hiyo tusione ajabu leo kutoa waraka kwa ajili ya wapiga kura.Mnakumbuka tuliambiwa Jakaya ni chaguo la mungu?(mniwie radhi kama tamko si la TEC).lakini sote tunakumbuka jinsi watu walivyo "hit back"?hio ndio demokrasia

Rai yangu mimi ni kuwa,tuusome,anaependa kuufuata sawa,asie penda pia ni heri,mwisho wa yote sanduku la kura litaongea.

Kuhusu mahakama ya kadhi hili pia linazungumzika,matatizo ninayo yaona hapa ni mawili

1.Wasio waislamu hawaamini kama mahakama hii haitaleta usumbufu kwa imani yao-Hawa wako sawa 100%.
Sasa njia kuu ni mazungumzo hakuna watu wenye uelewa kama mapadri na maaskofu,ni kukaa nao kujua wasiwasi wao ni nini hasa na kuwaeleza,hata ikichukua miaka 10,lakini pia wana haki ya kujiridhisha kwa sababu pia nao wana haki ya kulinda imani zao.

2.Wasio waislamu hawaoni sababu ya taasisi isio na maslahi kwao,iendeshwe kwa pesa za kodi yao=Pia wako sawa 100%
Inaweza kuangaliwa jinsi ya kuanzisha chombo hiki nje ya wigo wa serikali,halafu mtu akienda na hukumu yake pale Kisutu ipokelewe na kukazwa.

Nadhani tuepuke malumbano ya hizi hoja,tujiegemeze zaidi kushughulikia mafisadi uchaguzi haupo mbali,tukijisahau tutastukia uchaguzi upo mlangoni,jama wanarudi tena kwa kishindo huku tukijuliza tumeibiwa au karatasi zimejibadilisha?
 
Haya sasa mtoa hoja leta taarifa rasmi ili kuwa na mjaadala wenye afya.
 
kwani wajerumani walijenga shule gani wewe rafiki? wajerumani walileta dini gani wakati wa ukoloni? hebu tofautisha mambo rafiki yangu. funguka akili aisee.

Kinachoongelewa hapa ni kurudisha umiliki wa majengo. Sasa yawe shule, kanisa, msikiti, hospitali haijalishi. Wewe ndiyo unapaswa kufunguka akili zako aisee. Mimi nipo very active na akili zangu hazijawa mtumwa wa mahubiri ya chuki dhidi ya dini nyingine ndiyo maana natetea wakristo warudishiwe majengo yao. Lakini pia tuangalie na waislam pia warudishiwe IKULU yao. Ikulu ilijengwa kwa misingi ya tamaduni za kiislamu kwa nini nao wasirudishiwe jengo lao?.
 
Nadhani wanaomtetea mzee Makwaia huwa hawaamgalii vipindi vyake au ni ule msemo wa ukipenda chongo uiita kengeza?

Toka niliposikia kuwa Makwaia alipewa chochote kitu na fisadi na akamfagilia saaaana, basi siangalii tena kipindi chake kwani hupata nausea kali nimuonapo, halafu sijui kakaakaa namna gani kwani anafanana sana na wazee wa mjini wanaokula kwa maneno yao bila kujishughulisha na kazi
 
wakiwarudishia mtajenga shule?mbona hata kile kiwanja manji alichowaibia, mnashindwa hata kujenga kachuo tu pale mjikakamue? tunawabeba halafu mnajifanya za kuleta.

ni kweli aisee, sijui watajenga msikiti?hahaha. TUSINGEWABEBA HAWA JAMAA WANGE KUWA WAVUVI KULE FERI na wengine wangekuwa wanalima mihogo huko pembezoni wa dar. hakuna hata mmoja angekuwa na ujasiri wa kwenda shule. kwasababu hata leo hivi bado ni tatizo tu, hawajali shule ila biashara na kuswali.
 
wakiwarudishia mtajenga shule?mbona hata kile kiwanja manji alichowaibia, mnashindwa hata kujenga kachuo tu pale mjikakamue? tunawabeba halafu mnajifanya za kuleta.

Asante Mwana wa Mungu. Kile kiwanja kilikaa kikawa kichaka, mwishowe vijana wakawa wanalima mchicha pale. Manji akachora dili la kijanza kwa waji.. halafu akakichukua kwa 80,000,000 na ameshakiuza kwa bilions!!! Aliyeuziwa ameshaanza kuweka uzio, sijui anataka jenga nini pale. Kwa historia hawa ndugu zetu waislam walianza kulalama mara tunaonewa mara hatuna ardhi, mara vile, ndipo late JK Nyerere akatoa order wakapata kile kiwanja strategic vile na wakashindwa kuendeleza kwa huduma za jamii kama ilivyokuwa imepangwa!!!! Hebu tuliani jamani, wapisheni wenye nguvu, nao ni...wangekuwa wamepewa kile kiwanja nakuambia tungekuta bonge la either hospital au shule ya levels yoyote!!!!! Bisha.
 
wakiwarudishia mtajenga shule?mbona hata kile kiwanja manji alichowaibia, mnashindwa hata kujenga kachuo tu pale mjikakamue? tunawabeba halafu mnajifanya za kuleta.

Wakirudisha, maana yake jengo la kiislam litakuwa chini ya waislamu.
 
Nafikiri IKULU KAMA UNADAI MZEE, CHUKUENI TU. KWANZA MMEJAZA MIZIMU NA MAZINDIKO TU. kwani wakristo wanafaidika nini na ikulu, ni mara ngapi kwanza tumewaambia waihamishe iyo iende dodoma. hatuathiriki mzee.
 
nakwambia ukiwaambia wakristo kuwa mnadai ikulu, watawaambia chukueni siku hiyohiyo. pamoja na kwamba hauna uhakika wowote kuwa ikulu ilijengwa na waislam. hauna point rafiki na mtani wangu.
 
Wakirudisha, maana yake jengo la kiislam litakuwa chini ya waislamu.

Halafu walifanyie nini?? Msikiti au??? Maana misikitini kwao ndiyo majumba ya mikutano!!! Kuna msikiti mmoja pale Tegeta Kibaoni, huwa kule ndani wanafanyia kareti, na kuna nondo kibao. Katika yale maandamana ambayo ilibidi dola ichukue nguvu mkononi baadhi ya vijana walihusika walitoka katika ule msikiti!!! Jamani kumbukeni ya Morogoro road miaka ile, magari kuchomwa moto, vifo, huthubutu kupita, lo Magomeni Mwembechai!!! Msituleteeni fujo zenu.
 
si hivyo, nenda kule kwenye magazeti ya waislam, nenda kwenye online newspaper zao ukaone. wameshaanza kumfagilia lipumba wa cuf kuwa ndo atakuwa chaguo lao. NINAHISI NCHI SASA IMEMEGUKA NA CCM YA KIKWETE ITAKOSA mwenziwe. kwasababu Kikwete bila waislam hata shinda uchaguzi mwakani. ana kazi sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom