Mwana wa Mungu
JF-Expert Member
- Aug 14, 2008
- 1,003
- 86
kingunge hatumtaki kwenye uongozi wowote nchini Tanzania. Huyu atheist anayesema hakuna Mungu, kwanza amepitwa na wakati. hata machizi wa majalalani ukiwarushia jiwe wanapokwepa wanalia "Mungu wangu" lakini yeye anasema hakuna Mungu. huyu, nyerere pamoja na viongozi woote waliokuwepo kwenye timu ya mwalimu nyerere ndo walioiloga nchi hii hadi imekuwa masikini ya kufa mtu. hawa ndio walioanzisha mazindiko kwenye nchi yetu, kuzindika viongozi kule bagamoyo na zindiko la taifa kule kilwa. wanaizindika Tz kwa shetani. HII NCHI inazindikwa kwa mashetani jamani kule bagamoyo na Lindi. ndio maana watz tukiwaambia wamelogwaga miaka nenda rudi hawasikii. ndo maana watz waliowengi vichwa chini tu, unaweza kuwachapa kofi lakini wanainamisha tu vichwa chini. hata wakiibiwa hadi wake zao, sijui kura, sijui mikataba mibovu, sijui ufisadi gani, kiongozi akisimama na kuongea na kuwanyamazisha watz vichwa chini wanakubali tu. ndo maana nchi za jirani wamekuwa wakituita mazuzu kwa miaka mingi. lakini kwasababu mtu aliyelishwa libwata hata ukimwambia amelishwa limbwata na amelogwa hakuelewi kwasababu wamepumbaza nchi.
Nawambieni toka mwaka jana, yaani miaka miwili kabla ya uchaguzi kila term, CCM huwa inakwenda kuzindika Lindi ili kiongozi atakayekuja achaguliwe. hivi ninavyoongea tayari wameshazindika ndo maana wanajiamini na wanajua kikwete atapita tu.
Habari njema ni kwamba, mimi na watumishi wengine wa Mungu wengi, tunamwomba Mungu, tunalivunja lile zindiko, tutachoma majini na mizimu ya nyerere yote, na zindiko lao mwakani kwenye uchaguzi halitafanya kazi. na wakitegemea zindiko hili watapoteza mwakani.
ndo maana kingunge na wenzake hawaondoki, kwasababu wao ndo wanaojua siri za nchi hiii. washikaji tumelogwa....hahaha.
angalia mwenge unaokula kodi kila mwaka na kupumbaza watz wote, unapitishwa tz yote ili kuwapumbaza watu wote. yaani kwisha kazi. lakini tumefumbuka macho, watakoma. Mungu ametufumbua macho. Kingunge na wenzie mtakwisha. ninyi wote mnaosoma hapa mtashuhudia kwa macho yenu wakipotea kama mchumaa mbele ya moto mkali, Kwa Jina la Yesu, ameni.