Sipo
JF-Expert Member
- Jul 25, 2008
- 2,139
- 105
mimi sioni ubaya wa waraka wa Wakatoliki kama anavyosema Mzee Kingunge
Pia sioni ubaya Walutheri wakitoa wakwao ilimradi tu husiwe unagawa wananchi
Pia sioni ubaya Waislamu wakitoa na wakwao pia ilimrdi tu husiwagawanye wananchi
Na madhehebu mengine yote ya Kikristo kwa Kiislamu yatoe tu lakini lengo liwe moja kuwa ni kupambana na uchaguzi wa viongozi butu, wezi, mafisadi, mabaniani, manyang'au, mahayawani, wauzi (wauza) wa nchi yetu, makuhadi wa soko huria, mabepari uchwara na walanguzi wa uongozi na rasilimali zetu kama vile gesi, madini, ardhi na megineyo lukuki
Cha msingi kwenye waraka hizi dini zote au madhehebu yote yasisitize kwa wananchi kutochagua mafisadi tena ambao wengi wao wako ndani ya CCM
Nyie mnafikiri anachoogopa Mzee Kingunge ni kitu gani ni kuondoka kwa CCM madarakani kwa aibu kubwa na yeye akijua kitu atakachokipoteza (ulaji) kwa familia yake iliyoodhi kwenye maeneo mbalimbali kwa tender za kupendelewa.
Na mtakuja kugundua kuwa Mzee Kingunge katumwa na kundi kubwa la mafisadi ambao kwa sasa hawana moral authority ya kusimama na kuongea mbele ya jamii nzima ya Watanzania zaidi ya uko majimboni kwao ambako wamenunua wananchi kwa ubwabwa, bia, soda na karanga kutokana na ugumu wa maisha waliyonayo wananchi wa nchi hii