MIMI NAJIULIZA HIVI WARAKA HUO HUO WA WAKATOLIKI UNGETOLEWA NA WAISLAMU NCHI AU HATA TAIFA NA WANAICHI WANGEOPOKEA VIPI?
Mimi naungana na Kingunge 100% kua utaigawa nchi. kama maaskofu wanataka kuingia kwenye siasa basi waanzishe Chama na huo ndio uwe dira yao. waanze kugombea ubunge
Heshima kwenu nyote. Kabla ya kuunga au kupinga ni Muhimu waraka huo ukawekwa hapa ili wasomaji waupitie ndipo tupate maoni.
MIMI NAJIULIZA HIVI WARAKA HUO HUO WA WAKATOLIKI UNGETOLEWA NA WAISLAMU NCHI AU HATA TAIFA NA WANAICHI WANGEOPOKEA VIPI?
Mimi naungana na Kingunge 100% kua utaigawa nchi. kama maaskofu wanataka kuingia kwenye siasa basi waanzishe Chama na huo ndio uwe dira yao. waanze kugombea ubunge
naweza kupata nakala ya waraka huo?Wakuu Spika wabunge ameunga mkono waraka wa kanisa la Katoliki uliopingwa hivi karibuni na Kingunge Gombalimwiru na kusema kuwa unalenga kuwatenga majizi, mafisadi na wapiga ramli na kusema kuwa unarejesha nchi katika misingi ya mwalimu nyerere.
Hivi ni kweli anaunga mkono au ni changa la macho tu wakuu?
Mbona hoja nyingi za kupinga mafisadi amekuwa mstari wa mbele kuzikwamisha bungeni?
Kweli hii itakuwa kalagabaho!!
Ukifika kwa wenyeji kuwa mtulivu usianze makeke kaka .Waraka uko hapa toka day moja
MIMI NAJIULIZA HIVI WARAKA HUO HUO WA WAKATOLIKI UNGETOLEWA NA WAISLAMU NCHI AU HATA TAIFA NA WANAICHI WANGEOPOKEA VIPI?
Mimi naungana na Kingunge 100% kua utaigawa nchi. kama maaskofu wanataka kuingia kwenye siasa basi waanzishe Chama na huo ndio uwe dira yao. waanze kugombea ubunge
.''Unajua tatizo kubwa nchini ni kwamba watu wenye sifa za kuwa viongozi bora hawajitokezi, sasa tunataka kuamsha dhamira, watu wajitokeze kuchaguliwa na kuchagua pia''
Alisema kwamba sulihisho la matatizo yote duniani ni kusimamisha dola ya kiislam (KHILAFAH) kwani ndicho chombo pekee chenye uwezo wa kusimamia maisha ya mwanadamu bila kumsababishia madhara kama yaliyomo ndani ya mifumo ya ubepari na ujamaa.
Waislam wazindua chama
Na Salum Pazzy
CHAMA cha siasa cha Kiislam kinachofanya shughuli zake Kimataifa (HIZB-UT-TAHRIL), kimezindua harakati zake nchini kwa kuhamasisha waislam kujitambua ili kurejesha maisha ya dini hiyo katika nyanja zote.
Harakati hizo zilizinduliwa katika kongamano lililofanyika jana jijini Dar es Salaam katika msikiti wa Kichangani ulipo Magomeni.
Sambamba na uzinduzi huo, pia ulifanyika uzinduzi wa jarida liitwalo Khilafah linaloelezea masuala mbali mbali ya chama hicho na dini ya ya kiislam.
Akizungumza na waandishi wa habari katika Msikiti wa Kichangani Magomeni Dar es Salaam jana, Mwakilishi wa vyombo vya habari wa HIZB-UT-TAHRIL, Afrika Mashariki Sheikh Masoud Mselem, alisema matatizo makubwa ya kidunia ikiwemo Kuanguka kwa uchumi, vita na dhuluma ni matokeo ya binadamu kujipangia mifumo ya maisha bila kujali maelekezo ya Mungu.
Alisema kwamba sulihisho la matatizo yote duniani ni kusimamisha dola ya kiislam (KHILAFAH) kwani ndicho chombo pekee chenye uwezo wa kusimamia maisha ya mwanadamu bila kumsababishia madhara kama yaliyomo ndani ya mifumo ya ubepari na ujamaa.
"Lengo la HIZB-UT-TAHRIL ni kurejesha maisha ya kiislam jambo ambalo litawezekana tu kwa kusimamisha dola ya kiislam kwani ndicho chombo pekee chenye mamlaka ya kisheria na uwezo wa kusimamia maisha ya mwanadamu," alisema Sheikh Mselem.
Aliongeza kuwa HIZB-UT-TAHRIL ni tofauti na vyama vya siasa vilivyozoeleka kwani chenyewe kinatumia njia ya mvutano wa fikra (Interllectual struggle) na mapambano ya kisiasa bila kutumia nguvu.
Alifafanua kuwa njia kuu itumiwayo ni kufanya makomgamano ambapo jana lilifanyika kongamano la kimataifa na kuhudhuriwa na mamia ya waumini wakiwemo wahadhiri kutoka Australia na Yemen.
"Chama hiki ni cha siasa lakini si kama hivi mlivyovizoea, wala hakihitaji kusajiliwa kwani kinaendeshwa kwa mvutano wa fikra bila utumiaji nguvu na pia hakina mipaka kwa sababu sisi hatuamini mipaka hii iliyowekwa na wakoloni," alisema.
HIZB-UT-TAHRIL kilianzishwa mwaka 1953 Al-Quds, Palestina na kuenea nchi zote za Kiislam na nyinginezo zisizokuwa za kiislam, katika nchi za kiislam kinaazimia kusimamisha KHILAFAH na katika nchi nyinginezo kinafanya harakati za kuhamasisha waislam wajitambue.
wakuu mbona huo waraka unaongelewa lakini unapo omba kopi hamna anayeweza kutoa
sasa watu wanachangia from which ground/source????
MIMI NAJIULIZA HIVI WARAKA HUO HUO WA WAKATOLIKI UNGETOLEWA NA WAISLAMU NCHI AU HATA TAIFA NA WANAICHI WANGEOPOKEA VIPI?
Mimi naungana na Kingunge 100% kua utaigawa nchi. kama maaskofu wanataka kuingia kwenye siasa basi waanzishe Chama na huo ndio uwe dira yao. waanze kugombea ubunge
Wewe Barubaru inaelekea hujasoma huo waraka ndio maana unakurupuka na comments za ajabu ajabu. Sisi wengine ambao sio Wakatoliki tumeusoma huo waraka na kuuelewa vizuri sana ndio maana tunauunga mkono. In fact CCM wanapaswa kuutumia pia kama mwongozo wao kama kweli wana nia ya kupata viongozi waadilifu. Waraka huo jinsi ulivyo hata kama ungeandikwa na mwendawazimu ningemuunga mkono!

Just CURIOSITY ...... Hivi Huyu Kingunge yeye anaabudu/swali kwenye DINI GANI?
Is he Mkristo, Muislam, Buda, etc etc?
Just want to know!
hapo SIX atakuwa anaendeleza ule msimamo wake wa kuhakikisha akina nanihinooo(wanamtandao masilahii na mkuluu) wanampata kwamba kamwe hajawahi kuwapenda ni nafasi tuu aliitumia kupenya kwenye kundi lao ila sasa hayuko nao kabisaaaa moyoniiiiiii....Wakuu Spika wabunge ameunga mkono waraka wa kanisa la Katoliki uliopingwa hivi karibuni na Kingunge Gombalimwiru na kusema kuwa unalenga kuwatenga majizi, mafisadi na wapiga ramli na kusema kuwa unarejesha nchi katika misingi ya mwalimu nyerere.
Hivi ni kweli anaunga mkono au ni changa la macho tu wakuu?
Mbona hoja nyingi za kupinga mafisadi amekuwa mstari wa mbele kuzikwamisha bungeni?
Kweli hii itakuwa kalagabaho!!
Kazi ipo!