Babu kila jamii ina watu wazuri na wabaya, sema jamii nyingine zinavishwa uhasi zaidi nyingine.Nimesikia hili jina ila nashangaa kwamba baadhi ya watu kutoka Naija watu ambao nimekutana nao, wanaonekana kama watu wazuri sana kiasi kwamba huwa naishia kushangaa au kujishangaa!!
Hey Becky! mambo? Nilikumiss. :hug:wapopo,mabuzi babu...wanaijeria.....yamezubaa zubaa...hivi,kwao nahisi wanawake na wanaume hawajichanganyi sana akikupata anakung'ang'a niiiiiiiiiiiiiia....na wewe unamchuna kirahiiisi.....habari ndio hiyo...lol
Haya. Basi ukimaliza twambie tutaipata wapi, maana nimegundua kula neno la kiswahili siku hizi lina maana 2 au 3 tofauti. lolNaanda kamusi kwa kweli.....lol
wapopo,mabuzi babu...wanaijeria.....yamezubaa zubaa...hivi,kwao nahisi wanawake na wanaume hawajichanganyi sana akikupata anakung'ang'a niiiiiiiiiiiiiia....na wewe unamchuna kirahiiisi.....habari ndio hiyo...lol
unasikia eh eh ?lol
pole kwa kusikia lol
kuna tofauti kati ya Niger na Nigeriapipo from Niger!
Unachuna mnaija?
Mnaija wa ukweli?
Naskia unaweza kimbia na kitaulo bila viatu?
Ni mkonga wa tembo, duuh!
Umenikumbusha enzi za Tatiana na Richard kwenye BBA!!
Kwani hayo madude yana uhusiano na kabila au Taifa??
Halafu usiseme sana kwa sababu kuna watu watapa bonge la promo wakati wengine ndo mambo yetu yatakuwa yameshaharibika hivyo!!!
ha ha ha babu bwana!
kwa heshima yako
nanyamaza kimya kabisa
siwezi haribu soko la ndani
kwa kushabikia soko la nje
ambalo haliko 'reliable'
wapopo ni wanaijeria jina hilo wamebatizwa na wabongo,linatumika na wabongo dunia nzima kuwatambulisha jamaa japo wenyewe hawajui kama tunawaita hivyo so ukitaka kuwateka hata wakiwepo tumia jina hilo.kuna utata kuhusu chanzo cha jina hilo!
ndiyo ni wanigeria jinahilo linatokana na watu kuwa na ndimi mbili haswa kabila moja linaitwa wayoruba ni wanafiki wakubwa na waongo sana ,akisema wewe ni rafiki yake basi kuna kitu anataka kwako bada ya hayo utasikia music wake, pia ni waongo sana akisema goodmorning katazame jua kwanza nje kama asubuhi, kule kuna waibo, huku tunawaita wachagga hawa watu poa spedi ni spedi na kijiko ni kijiko,pia kuna wafurani wako kama wamasai, popo ni ndege na mnyama hwa wayoruba ni kama popo
Hata wagambia nao ni wapopo!wapopo ni wanaijeria na sababu ya kuitwa wapopo ni kutokulala kwao usiku kwa ajili ya kufanya mazabe.Nalog off