Achana na madogo kama( Rema, Fireboy, Tems, Libianca, Omah lay, Asake, Ayra starr n.k ) huyu dogo Ruger ni wa moto sana

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,017
12,310
Huyu dogo mpopo Ruger kutoka kwa wapopo huko Naija ni wamoto sana.

Nimekuwa mfuatiliaji wa mangoma ya wapopo kwa muda sasa wacha niseme huyu yanki ana toa mikwaju ya moto sana.

Toka kwa mkwaju wake wa mwanzo ulio mtoa unaoitwa "One shirt" mpaka sasa huu mkwaju wake mpya "Kristy"

Dogo ana toa mawe juu ya mawe halafu yote yana vibe na yamoto pia, mikwaju yake mingi yupo solo sio kwamba anabebwa na collabo hapana bali uwezo wa huyu janja upo anga ya mbali.

Hii hapa mikwaju yake kwa haraka haraka ambayo ya moto:-
Bounce
Dior
Girlfriend
Red flags
Snapchart
Bienvenue
Jonzing Boy
Asiwaju
Abu Dhabi
Wewe
Kristy
One shirt

Huyu ndie dogo Ruger anakuambia kukuruku cook that thing😎
biography-921-ruger-biography--11062023.jpg
 
Dior
Badman looking good in Dior
Badman dip to the core
Sport car sporked on the right spot
Badman sneak on you now
Badman looking good in Dior
Badman dip to the core
Sport car sporked on the right spot
Badman sneak on you

Me got a girl on the bed right now
She say she no wan leave
She tell me Ruger
Me I want to spend the rest of mi life with you
Me say no shit ulaa

Fly you to Maldives for a day
Then we fly back quick
Then we take a quick jet straight to Paris
You fucking with a creme de la creme

Say she never seen a guy like me
Eh she confess
Say nobody hit it right like me
She confess
Bend down get on your knees girl never digress
Uh, she really want flex with me
She wanna bake bread with me

Badman looking good in Dior
Badman dip to the core
Sport car sporked on the right spot
Badman sneak on you now
Badman looking good in Dior
Badman dip to the core
Sport car sporked on the right spot
Badman sneak on you

Kilode ti kilode ti won bi mi
Screw all the niggas them a wan be me
Eyes on me looking fresh and clean
Definitely put me eye patch on me
Take my vanilla cold stone
Inna my villa me wan chop your riza sativa on code
Code

Say she never seen a guy like me
Eh she confess
Say nobody hit right like me
She confess
Bend down get on your knees girl never digress
Oh, she really want flex with me
She wanna bake bread with me

Badman looking good in Dior
Badman dip to the core
Sport car sporked on the right spot
Badman sneak on you now
Badman looking good in Dior
Badman dip to the core
Sport car sporked on the right spot
Badman sneak on you

Me no get time for love definitely not
Me get girls around to come warm me up
Me and D’Prince we pull up in fleets
VSOP to my mon amis
Take my vanilla cold stone
Inna my villa me wan chop your riza sativa on code
Code

Yeah yeah yeah yeah
Uh love oh nah nah nah
Uh yeah
Badman looking good in Dior
Sport car sporked on the right spot

(Kukuruku cook dat ting)
 
Huku kwetu watu hawataki tuwe na kina ruger wetu wengi wanataka awepo diamond peke ake
wakina nani hawataki?
nani ana wazuia hao vijana kua kama ruger ukiwa hater utaendelea kubaki hater na kuona wengine ni kama wanakuzibia ili hali ni kawaida yenu waswahili kusingizia wengine mara mnapo shindwa kupiga hatua
 
Umeelewa?
 
Huyu dogo mpopo Ruger kutoka kwa wapopo huko Naija ni wamoto sana.

Nimekuwa mfuatiliaji wa mangoma ya wapopo kwa muda sasa wacha niseme huyu yanki ana toa mikwaju ya moto sana.

Toka kwa mkwaju wake wa mwanzo ulio mtoa unaoitwa "One shirt" mpaka sasa huu mkwaju wake mpya "Kristy"

Dogo ana toa mawe juu ya mawe halafu yote yana vibe na yamoto pia, mikwaju yake mingi yupo solo sio kwamba anabebwa na collabo hapana bali uwezo wa huyu janja upo anga ya mbali.

Hii hapa mikwaju yake kwa haraka haraka ambayo ya moto:-
Bounce
Dior
Girlfriend
Red flags
Snapchart
Bienvenue
Jonzing Boy
Asiwaju
Abu Dhabi
Wewe
Kristy
One shirt

Huyu ndie dogo Ruger anakuambia kukuruku cook that thing😎View attachment 2711915
Unamjua asake wewe?? Muullze mondi wa tandale
 
Back
Top Bottom