Wapopo............. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapopo.............

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by The Boss, Jan 8, 2012.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Nakutana na hilo neno saana...
  je wapopo ni watu gani haswaa
  na kwa nini wanaitwa wapopo??????
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  duh, ngoja nisikilize...
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Wanaigeria. . .
  Sababu sijui, mi nasikiaga tu.
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  wa Nigeria peke yao?
  wa Ghana je?nchi zingine za west Africa??????
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sijawahi kusikia hao wengine wakiitwa hivyo, though inawezekana.

  Well hili wazo limenijia sasa hivi tu. Unajua mtu anapobadilika badilika watu hua wanamfananisha na popo? Yani anakua sio mbaya moja kwa moja, wala sio mzuri moja kwa moja.
  Inawezekana waNaigeria wanaitwa hivyo kwakua ni scammer wazuri. Yani wanakua wapole, wastaarabu mpaka mwenyewe unatoa funguo za gari ili uibiwe.
  I don't know. . . nimefikiria tu.
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Jan 8, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  unazungumza kama umekutana nao tayari.
  wakakuibia.au ndo hawa?ile kesi?
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  Jan 8, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Naaaah, sinasikia kila kona watu wanawalalamikia. Mi nna marafiki kama watatu hivi, they are alright.


  Hahahahahaha wale wabongo pure. . . .
   
 8. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #8
  Jan 8, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  wapopo ni wanaijeria jina hilo wamebatizwa na wabongo,linatumika na wabongo dunia nzima kuwatambulisha jamaa japo wenyewe hawajui kama tunawaita hivyo so ukitaka kuwateka hata wakiwepo tumia jina hilo.Kuna utata kuhusu chanzo cha jina hilo!
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Jan 8, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  @lizzy
  hayo maelezo yako ya popo inawezekana
  wanigeria ni watata sana
  hawaeleki kama ni ndege au mamalia
  wanabadilika kulingana na faida watakayoipata kwako.

  Mi nadhani ni 'hawaeleweki'
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  Jan 8, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Na Wanugu je?
   
 11. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #11
  Jan 8, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  asante..
  naomba ueleze huo utata wa chanzo cha jina hilo....
   
 12. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #12
  Jan 8, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  naelewa Wanugu ndio Black Americans sio?au nakosea?
   
 13. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #13
  Jan 8, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ngoja wanaojua watuletee maelezo. . .
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Jan 8, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Ndiyo, lakini nini chimbuko la hilo jina?
  Nigga?
   
 15. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #15
  Jan 8, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  tueleweshe ...usikute umeya coin wewe haya majina?lol
   
 16. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #16
  Jan 8, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Niliwahi kumuuliza brother angu mmoja katika wasafiri(mabaharia)wa kizamani ambao ndio waasisi wa jina hilo enzi hizo,akaniambia nae anasikia kwamba lilitokana na style yao ya kuongea,yani kupiga makelele,simjui popo sawasawa naomba wanaomjua watueleze alivyo ili na mimi niweze ku connect dots,je popo ana kelele?
   
 17. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #17
  Jan 8, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  pipo from Niger!
   
 18. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #18
  Jan 8, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  sidhani.....
   
 19. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #19
  Jan 8, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Nimesikia hili jina ila nashangaa kwamba baadhi ya watu kutoka Naija watu ambao nimekutana nao, wanaonekana kama watu wazuri sana kiasi kwamba huwa naishia kushangaa au kujishangaa!!
   
 20. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #20
  Jan 8, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  we umesikia hili jina lina maana ipi???
   
Loading...