Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 12,778
- 24,096
Unakuta za leo au Jana na kwenye wali waambie wali mgumu km mawe nayo shda ingne,, afu utasikia tunavyo pika wa mkoani hamtufikiiNjegere iyo ikiwa imekaa siku nyingi lazima isiive
Unakuta za leo au Jana na kwenye wali waambie wali mgumu km mawe nayo shda ingne,, afu utasikia tunavyo pika wa mkoani hamtufikiiNjegere iyo ikiwa imekaa siku nyingi lazima isiive
Sawa... mkuu¡ ila hata sijui zikoje¡Ilo ss na waachia maafisa lishe
Tumia akili ...kwanini usiseme ni kiungo na mboga kwa sababu njegere ni mboga kamili nani kiungo kwa asilimia ndogoHello
Njegere sio mboga ni kiungo tu cha chakula kama vile nyanya na matumiz yake ni
Una weza pikia kwenye
Ubwabwa
Samaki
Nyama
Ndizi
Ivyo wengi mna geuza matumizi badaal yake mna ifanya mboga mna unga na nazi mna kosea ile ni kiungo cha nakshi nakshi kwenye chakula kuleta mvuto katika chakula
Ni hayo tu kwa leo
DuhUnakuta za leo au Jana na kwenye wali waambie wali mgumu km mawe nayo shda ingne,, afu utasikia tunavyo pika wa mkoani hamtufikii
Sijasema wasile ila watumie kma kiungo lakn sio kma mbogaLaiti ungezijua faida za njegere....
100g za njegere zinakupa mpaka 9g za fibre, na fibre ni muhimu mno mno!
Ukizingatia zilivyo nafuu ningeshauri watu wale kadri wanavyoweza.
SawaTumia akili ...kwanini usiseme ni kiungo na mboga kwa sababu njegere ni mboga kamili nani kiungo kwa asilimia ndogo
Nice ni machaguzi tuNani kasema? Njegere ni kama maharage au choroko. Waweza zipika zenyewe kama mboga au Waweza kufanya km kiungo katika vyakula vengine. I love njegere however zinavopikwa 😋