Wapinzani wamuumiza Spika wa Bunge

Wapinzani wamuumiza Spika wa Bunge

Mbona yeye anawatenga ina maana hajui, Ama kweli nyani haoni ....................
 
UKAWA watashirikije futari iliyoandaliwa na maCCM? Kwani hawana fedha za kununua futari yao wenyewe?
 
Nimecheka sana hiyo habari ya kumpiga mtu hadi akazimia...
Kwani uongo mzee!
Kampeni CCM: Ndugai ampiga mgombea mwenzake, azimia na kukimbizwa hospitali huko Kongwa


upload_2017-6-21_12-20-26.jpeg
 
Mi nashauri Bungeni kuwepo na kamati ya kuwahudumia wapinzani maji na makabrasha mengineyo. Wahudumu wawe wapinzani. Hali ishachafuka.
Ni kweli kabisa mkuu. Kwa hapa tulipofikia sio ajabu kuwatumia wahudumu wa bunge kuwalitilia sumu wabunge wa upinzani, hasa akina Tundu Lissu et al, ambao CCM inawaona kama maadui wakubwa.

Kwa sababu hii nawashauri wabunge wa akina Tundu Lissu kuwa makini na vyakula vinavyotolewa mle bungeni kwani ni rahisi CCM kuwatumia wahudumu wa bunge kuwadhuru wapinzani. Kuweni makini sana.
 
Ni akina nani waliobanwa kla kona?? Nadhani unazungumza kinyume chake....Na watu wakshindwa hoja utawambua tu kwa lugha yao ya matusi na kejeli....Yaani hata lugha unayotumia katika andiko lako hili inaonyesha namna tatizo lilipo...Unatumia lugha isiyo ya heshima...Ipo kazi kubwa kuwaelimisha watu kama nyie...Kwamba tabueni matusi, kejeli siyo mtaji kabisa....jenga hoja yako usikike.
Lugha yenyewe unayoisema huijui. Soma uliochoandika ndio utajielewa. Soma alama za nyakati wewe!!! Jiongeze basiiiiii aaaghhhhhh sijui kwa nini
 
Ubaguzi baina ya UKAWA na CCM ulianza pale Rais Magufuli alipowazuia wabunge wa CCM kutoshirikiana na UKAWA.
 
Mbona yeye anawatenga ina maana hajui, Ama kweli nyani haoni ....................
Kutengana huku kutazaa makubwa usije ukashangaa mkoa unaobaguliwa sana ukaomba kutoka kwenye JMTz uwe huru kufanya maendeleo yake na kuachana na vijembe
 
MTU MWENYEWE KAANDAA FUTARI CHAULO NA MAGIMBI NANI ATIE MAGUU
 
Wafuturishe wasio na uwezo sasa wewe unataka wabunge ndo waje kufturu?
 
Kwa mfano wangehudhuria sipati picha vijembe ambavyo angewapa bungeni
Maana huyo spika ni mzee wa vijembe mwanzo mwisho
 
k
Chadema wanachukia sana uislam si shangai Mbowe na Lissu kuwashauri wasihudhurie futari...lengo lao ni kuendeleza chuki dhidi ya Uislam
Umepotea, nipe analysis ya teuzi za hivi karibuni, mbona kama mmesahauliwa hivi!
 
Spika angeangalia note nchini jinsi wabunge viongozi Wa upinzani kuanzia vitongoji mpaka taiga wanavyokamatwa na kudhalilishwa na vyombo vya dola kila Siku na si kwa sababu za msingi ila za kisiasa na hats Tabia za kibabe za spika kwa wabunge Wa upinzani na mpaka wanaenda mahakamani kuomba Mahakama itoe tafsiri ya kisheria juu ya maamuzi ya spika plus kauli ya raisi alipokuwa anamuagiza spika kuchukua hatua Kali kwa wabunge Wa upinza huku akifahamu fika kwamba binge Lina kanuni na taratibu zake za kufuata,
Kwa mukhtadha huu nani atakuwa na furaha moyoni ya kwenda kula na kugongesheana glass za Upendo na hero na spika wakati kila Siku anawatoa nje na kutoa kauli za kuwadhalilisha akisahau kwamba wabunge wale wamechaguliwa na wanainchi wanaojinasibu kuwatumikia, lazima spika ndugai ajifikilie sana maana wenzie sitta na mama makinda waliliongoza binge katika kipindi kigumu cha mijadala lakini hawakufikia hapa alipofika yeye mheshiwa spika.
 
Back
Top Bottom