Wapinzani wamuumiza Spika wa Bunge

Wapinzani wamuumiza Spika wa Bunge

Ukiwaangalia watu wenye madaraka kwa juu juu unaweza ukadhani wana ngozi ya chuma na damu ya gesi. Kumbe sio kweli. Spika mbabe anayeonyesha umwamba kwa wapinzani wake kisiasa ananung'unika kisa watu hawakwenda kula futari yake. Labda hajui kwamba kukaribisha futari ni ishara ya upendo, ukarimu na ustaarabu-vitu ambavyo yeye hana na hivyo futari yake ni kwa ajili ya kujikweza tu ili apendwe na wabunge wote bila kujali manyanyaso yake.

Tusikate tamaa na viongozi wanaojifanya viziwi. Sio viziwi, wanasikia vizuri na kwa sababu wana mwili wa nyama, yanawaingia hadi moyoni yale tunayoyalilia. Kutokana na kilio chetu, leo Baba Bashite hathubutu kuongelea wala kumsifia mwanawe mpendwa na hana uthubutu wa kuongelea viongozi waliofoji vyeti. Tuendelee kupiga kelele na kuwanunia, ndo silaha kuu ya kuwashinda madikteta maana wanapenda kupendwa na kila mtu.
 
Kumsalimia Lema magereza mnasaliti Chama, Kutuma wawakilishi mazishi ya Ndesa hamna, Leo mnasema je?
 
Hiyo sio shida...mwenye shida ni yule aliesema Lema asitembelewe..kwa kweli alifika mbali sana.
 
Nionavyo mimi wewe ndiye unayepaswa kujitathimini pamoja na wale wenye mawazo kama yako ya kupinga each and every thing...Inabidi mjitathimini kama kweli mnaitembea haki nchi hii kwa kushabiikia vitendo vya kipuuzi bungeni, na kulalamika kila muda na kujiona kuwa ni nyie tu mnaojua mambo na kwamba wale wasiiokubaliana na nyie etii "hawajitambui"...Ni lazimamheshimu mawazo ya wenzenu...
hivi siku zote Lisu alipokuwa anasema tunaibiwa nyie ndio mlikuwa mnatoa povu kutetea ujinga huo. leo mmebanwa kila kona ndio mnajidai kutetea kinafiki. mnaongea na kujicontadict wenyewe. Kisa hamuoni mbele mapema, mmezoea mpaka mtu aongee kitu nyie na mamburula wenzio mnadandia ndio maana hata kwenye kampeni mliiba logo. SHAME UPON URSELF. Halafu uwage na uelewa wa kutosha kuthibitisha sio kudakia maneno ya wenzio kila mara.
 
Wameogopa kanuni za kula hiyo futali maana wangeomba muongozo wangetolewa nje.
 
"Marufuku wabunge wa ccm kwenda kumsalimia lema mahabusu"

"marufuku mbunge wa ccm kuolewa na mbunge wa upinzani" By Magufuli.

mbona hakumkemea magufuli kwa kauli izo? Aache unafiki wake na aende akatibiwe ugonjwa wake wa akili.
 
Unatetea mchanga usiondoke lakni unachekelea dhahabu kuondoka hii akili au tope??? kazi yenu kukurupuka ndio shida. Grow up guy
 
Nionavyo mimi wewe ndiye unayepaswa kujitathimini pamoja na wale wenye mawazo kama yako ya kupinga each and every thing...Inabidi mjitathimini kama kweli mnaitembea haki nchi hii kwa kushabiikia vitendo vya kipuuzi bungeni, na kulalamika kila muda na kujiona kuwa ni nyie tu mnaojua mambo na kwamba wale wasiiokubaliana na nyie etii "hawajitambui"...Ni lazimamheshimu mawazo ya wenzenu...
'Ndiyooooo' iheshimiwe au kula futari?
Lipi la maana mnaloongea/fanya bungeni zaidi ya wizi tu.

MIJINGA to the extreme
 
hivi siku zote Lisu alipokuwa anasema tunaibiwa nyie ndio mlikuwa mnatoa povu kutetea ujinga huo. leo mmebanwa kila kona ndio mnajidai kutetea kinafiki. mnaongea na kujicontadict wenyewe. Kisa hamuoni mbele mapema, mmezoea mpaka mtu aongee kitu nyie na mamburula wenzio mnadandia ndio maana hata kwenye kampeni mliiba logo. SHAME UPON URSELF. Halafu uwage na uelewa wa kutosha kuthibitisha sio kudakia maneno ya wenzio kila mara.
huna tofauti na makinikia wakati wenzzio ndio gold na almasi.
Subiri wakufanyie smelting tu maana hamna namna tena.
 
Dawa ya mtu mwovu ni hiyo, kumsusia hata chakula chake. Yeye anapodhani anatenda vema nyie mnamuonyesha kuwa huo wema wako faidi mwenyewe. Maumivu anayosikia Ndugai katika hili ni makubwa kuliko hata alivyoitwa lile jina na Mdee.
 
Kama aliweza kusema Waliopiga KURA ya HAPANA kwenye Bajeti hawatapelekewa pesa kwenye majimbo yao!Hivi Futari ni muhimu kuliko MAENDELEO ya watanzania?Kama unauwezo wa kuwabagua wapiga KURA unaweledi gani wakuwakaribisha wabunge wao ambao ni wapinzani??

Nadhani Ndugai hayuko sawa
 
hivi siku zote Lisu alipokuwa anasema tunaibiwa nyie ndio mlikuwa mnatoa povu kutetea ujinga huo. leo mmebanwa kila kona ndio mnajidai kutetea kinafiki. mnaongea na kujicontadict wenyewe. Kisa hamuoni mbele mapema, mmezoea mpaka mtu aongee kitu nyie na mamburula wenzio mnadandia ndio maana hata kwenye kampeni mliiba logo. SHAME UPON URSELF. Halafu uwage na uelewa wa kutosha kuthibitisha sio kudakia maneno ya wenzio kila mara.
Ni akina nani waliobanwa kla kona?? Nadhani unazungumza kinyume chake....Na watu wakshindwa hoja utawambua tu kwa lugha yao ya matusi na kejeli....Yaani hata lugha unayotumia katika andiko lako hili inaonyesha namna tatizo lilipo...Unatumia lugha isiyo ya heshima...Ipo kazi kubwa kuwaelimisha watu kama nyie...Kwamba tabueni matusi, kejeli siyo mtaji kabisa....jenga hoja yako usikike.
 
Wale mafutari yao kwanza hivi sasa yameshakuwa mbolea. MaCCM ni machawi acha yakae yenyewe.
 
Na mbado! Itakuwa unafki wa hali ya juu wapinzani kuhudhuria msiba wa Kibajaji au familia yake ,the same kwa ndugai
 
Spika Ndugai alipokuwa yuko nje akitibiwa na nafasi kuchukuliwa na naibu wake yule Mhe. dada yetu wengi (wapinzani) walimlilia apone haraka na kurejea kwenye kiti chake...sasa wapinzani hao hao wanamuona hafai...Spika Ndugai anafuata sheria,kanuni na miongozo ya Bunge....Mbunge akimshika nguo yule 'askari' wa bunge ni lazima ashughulikiwe tu...Bungeni siyo mahalin pa mchezo mchezo
Uko sahihi kabisa. Lakini amebadilika! Alikuwa na busara kama walivyomnanga wapinzani, he underwent a U-turn against wapinzani. Nadhani??? ni maelekezo ya Mkuu, maana unaona mtu anafanya kitu kuwa kwa utashi wake asingelifanya hivi! Huwezi kumfungia mtu mwaka mzima, utu unadictate hivyo pamoja na kuwa kuna kanuni. Yeyey alimpiga mtu akazimia, ilibidi awe jela katika hali ya kawaida, lakini bado akapata uongozi wa Muhimili mkubwa! alisamehewa/au kwa vile yuko kwenye system?
 
Chadema wanachukia sana uislam si shangai Mbowe na Lissu kuwashauri wasihudhurie futari...lengo lao ni kuendeleza chuki dhidi ya Uislam
Sasa mmetoka kwenye siasa mnakimbilia dini.
Kipindi cha kikwete mara ngapi wapinzani walijumuika pmj na ccm kwenye ftari. Ukishakua ccm na akili zinahama. Leo nimeamini.
 
Uko sahihi kabisa. Lakini amebadilika! Alikuwa na busara kama walivyomnanga wapinzani, he underwent a U-turn against wapinzani. Nadhani??? ni maelekezo ya Mkuu, maana unaona mtu anafanya kitu kuwa kwa utashi wake asingelifanya hivi! Huwezi kumfungia mtu mwaka mzima, utu unadictate hivyo pamoja na kuwa kuna kanuni. Yeyey alimpiga mtu akazimia, ilibidi awe jela katika hali ya kawaida, lakini bado akapata uongozi wa Muhimili mkubwa! alisamehewa/au kwa vile yuko kwenye system?

Nimecheka sana hiyo habari ya kumpiga mtu hadi akazimia...
 
Askari ukiambiwa Toa mtu nje, Toa mtu nje kweli.
 
Back
Top Bottom