Wo shi niubi
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 1,503
- 2,156
Sio tu kususia futali, wapinzani waangalie kama kuna taratibu zingine ambazo wanaweza wakazifuata za kutohudhuria bunge wafanye hivyo, ili wamuachie ndugai na bunge lake aendelee kujenga nchi yake, huyu ndugai na viongozi wenzie sijui wako dunia ipi ambayo inawachukulia wapinzani kama wakimbi na sio watanzania?,chuki zote hapa nchi chanzo chake huwa ni hao hao kina ndugai, mimi sijawahi ona duniani kote watu kama kina ndugai ambapo mioyo yao imejaa chuki na visasi muda wote, na haya ndo matokeo yake.