Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,547
- 139,883
Shamba langu mmevamia na kuharibu bila kunishirikisha,halafu eti nijumuike na nyinyi,huu ni ufala
Cheki huyu naye nani kakuambia futari ni ya waislam au jina la chakula ndilo limekubabaisha, usipende kukariri vitu.Chadema wanachukia sana uislam si shangai Mbowe na Lissu kuwashauri wasihudhurie futari...lengo lao ni kuendeleza chuki dhidi ya Uislam
Sina uhakika kama sijakutukana bila sautiSpika Ndugai alipokuwa yuko nje akitibiwa na nafasi kuchukuliwa na naibu wake yule Mhe. dada yetu wengi (wapinzani) walimlilia apone haraka na kurejea kwenye kiti chake...sasa wapinzani hao hao wanamuona hafai...Spika Ndugai anafuata sheria,kanuni na miongozo ya Bunge....Mbunge akimshika nguo yule 'askari' wa bunge ni lazima ashughulikiwe tu...Bungeni siyo mahalin pa mchezo mchezo
Kweli mkuu huko nyuma iliwahi kutokea sikumbuki nani aliandaa (Naibu Spika?) lakini walikuja kushushuliwa bungeni, CCM hawana kidogo ni kuwapeleka wanakotaka twende, hongera wabunge wa upinzani mwendo huo huo hadi watakapotambua madhara ya ubaguzi.Alitaka wale futari hili aje kuwatangaza et ooooh mnasusia vikao vya bungeni lakini futari mbona amuisusii...
Akili za maCCM wanazijua wao.
Hujui waliobanwa? huoni wanaotumbuliwa, huoni wazee wa escrow kuna mwana UKAWA humo, Nape ni UKAWA, Kitwanga je, muhongo, list ni ndefu.Ni akina nani waliobanwa kla kona?? Nadhani unazungumza kinyume chake....Na watu wakshindwa hoja utawambua tu kwa lugha yao ya matusi na kejeli....Yaani hata lugha unayotumia katika andiko lako hili inaonyesha namna tatizo lilipo...Unatumia lugha isiyo ya heshima...Ipo kazi kubwa kuwaelimisha watu kama nyie...Kwamba tabueni matusi, kejeli siyo mtaji kabisa....jenga hoja yako usikike.
Na huu uwe mwanzo wa kuwafundisha hawa ma ccm kuwa wapinzani tukiamua tunawezaapeleke uchawi wake huko.
Huyu Ndugai ni bingwa wa bias leo anajifanya mwema sana mnafiki mkubwa huyu.
"Ni marufuku wabunge wa CCM kwenda kumsabahi Lema huko Magereza" By Mwenyekiti wa CCM
Tatizo lake anatekeleza maagizo kutoka juuSource ya yote haya ni wewe Spika Job Ndugai mwenyewe..
Wewe ndio unaeleta huu mgawanyiko bungeni na mpaka wabunge wa upande mwingine wameamua kuwa wapinzani kwelikweli..
Acha kulia lia..
Be fair kwa wote.
Am sure (kwa mfano) kama Mkiti Mussa Zungu angekuwa ameandaa futari na kuwakaribisha wabunge, wote wangeudhuria..!!
So Ndugai angalia nyendo na matendo yako kwa wapinzani na hasa Chadema then jiulize why??
Amesahau kuwa mtenda akitendewa uona anaonewaAkumbukumbuke pia anavyobania dakika kwa wabunge wa upinzani, kuwaitia askari watolewe nje na kuruhusu waitwe wezi
Kweli kabisa, isije kuwa regionalismKutengana huku kutazaa makubwa usije ukashangaa mkoa unaobaguliwa sana ukaomba kutoka kwenye JMTz uwe huru kufanya maendeleo yake na kuachana na vijembe
Tunajilaumu sana kwa kupoteza muda wetu kumuombea wakati yupo hoi kule indiaSpika wa kupokea maelekezo kutoka Ikulu..
Ovyo kabisa huyu Ndugai.