Spika wa Bunge la Uingereza aipongeza Tanzania

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
10,353
Reaction score
15,125
Kumekucha:
Spika wa Bunge la Uingereza, Sir Lindsay Hoyle ameipongeza Tanzania kwa mchango wake katika diplomasia ya kibunge pamoja na juhudi za kuimarisha maendeleo ya kiuchumi na ushirikiano wa Kimataifa.

Akizungumza katika mahojiano maalum pembezoni mwa Mkutano Mkuu wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unaoendelea Jijini Arusha, Sir Lindsay amesema Tanzania ni Nchi yenye uchumi muhimu katika ukanda wa Afrika Mashariki. Nakaribisha Matusi ya kila aina

Ametaja miongoni mwa nguvu za Tanzania kuwa ni idadi kubwa ya vijana, utajiri wa vivutio vya utalii, rasilimali ya gesi asilia pamoja na uwezo wa uzalishaji wa umeme unaoendelea kukua.

"Mafungamano ya kibiashara na kiuchumi yenye nguvu zaidi kati ya Tanzania na Uingereza yatasaidia Nchi zote mbili kutumia vyema uwezo wake wa kiuchumi, huku yakijenga juu ya uhusiano wa kihistoria wa muda mrefu," amesema Sir Lindsay.

Mkutano wa 153 wa IPU unaendelea Jijini Arusha hadi Oktoba 9, 2026, ukihudhuriwa na Maspika na Wabunge zaidi ya 1,500 kutoka Mataifa mbalimbali duniani.

IMG_3647.jpeg
 
View attachment 3686424
welcome again bwana spika sir Lindsay to Tanzania, safari ijayo utakuta mambo makubwa zaidi

Hongera sana,
Unafanya kazi nzuri sana pale katika bunge la Uingereza 🤝
 
Na Bi Eda kwetu anafanya kazi nzuri sana sana
 
UK Kwa sasa inaelekea mlengo wa kushoto zaidi, kuongezeka Kwa waislam na watu wa mlengo wa kushoto(leftists) kumebadili sana siasa na maono ya UK kimataifa.

Ingawa waislam wao ni 7% tu ya idadi yote ya watu wa Uingereza, lakini tayari uwepo wao umekuwa na kelele nyingi sana za mabadiliko. Leftists ambao ndio wanaongoza serikali Kwa sasa, muelekeo wao ni kama wa China...yaani wanapenda sana kuunga mkono serikali za kidikteta.

UK ya sasa sio ile ya akina Margret Thatcher, ingawa kuna matumaini ya upinzani kutoka watu wa mlengo wa kulia.

Ivyo basi, tutegemee upuuzi mwingi kutoka UK. Tegemeo la ukombozi wa nchi zinazokandamizwa na tawala mbovu Kwa sasa ni kutoka USA, baadhi ya nchi za EU, Canada, Scandinavian countries...

UK is currently gone.
 
Na huyu mwiteni chawa wa ma Samia😀😀😀
 
Back
Top Bottom