Mtu wa Pwani
JF-Expert Member
- Dec 26, 2006
- 4,184
- 671
Ilikuwa ni mbwembwe na vifijo baada ya kupata kiti kimoja cha udiwani kati ya 16 vinavyogombaniwa.
mkuu zitto alitinga na heading upinzani1 ccm 0 na kutuahidi kuwa hii yote ni dalili za nyakati, inaonyesha ccm hawatakiwi na watakiona.
kumbe ushindi wenyewe ni wa goli visa kule kwetu huliita.
sasa wako kimya hamna update yeyote sio kama hawana info cha kilichotokea ila wamepata vitetemeshi vya mikono na midomohawana la kusema.
wakowalioanza kutoa visababu ati wananchi uelewa wao mdogo, kisa wamepiga chini upinzani. hawa hawa wakiwazomea CCM uelewa unakuwa juu, hawa ndio watuwa double standard.
hii inaonyesha yale maneno yangu ya kila siku kuwa upinzani ni machelema, bado hawajaiva, wanaanza kuwatukana wakunga na uzazi ungalipo.
CCM CHAMA CHA KIMAPINDUZI
IMARA DAIMA KINA CHAPA KAZI
Mtu wa Pwani na wewe ujitahidigi basi uwakage hata vidata kidgo, maneno tu, kichwa cha habari kikubwa kumbe hamna lolote, duhuu, kweli uccm ni problem!
CCM unopposed in five wards
DAILY NEWS Reporter
Daily News; Monday,October 29, 2007 @00:04
FIVE CCM candidates sailed through unopposed in by-elections for councilors in 16 wards held throughout the country yesterday, fanning speculation that the ruling party could emerge with massive victory in full results expected today.
According to the Director of the National Electoral Commission (NEC), Mr Rajab Kiravu, the polling stations opened on time and closed accordingly without any hitches. Also, there were no reports of ugly incidents.
He told the Daily News that the five CCM candidates were from Lipumburu Ward in Mtwara Region, Ifunda and Ulanda wards in Iringa Region and Mkula and Mwandu wards in Mwanza Region. The opposition Tanzania Labour Party (TLP) won in Namkukwe Ward, Mbeya Region.
Results were awaited from 10 wards Kilema East in Kilimanjaro Region, Marumba, Muhuwezi and Majengo in Ruvuma Region, Masuguru in Tanga Region, Sombetini in Arusha Region, Katazi, Kabwe and Namanyere in Rukwa Region and Ngulinguli in Shinyanga Region.
The by-elections were held as planned after the High Court in Dar es Salaam quashed an attempt by four opposition parties to stop the polls.
Judges Njengafibili Mwaikugile, Robert Makaramba and Aisha Nyerere ruled last Friday that the application that was lodged by the opposition parties lacked merits.
The parties that had wanted the by-elections be suspended until determination of their constitutional petition pending in the court were the Tanzania Labour Party (TLP) , Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Civic United Front (CUF) and National Convention for Construction and Reform (NCCR Mageuzi).
In their constitutional petition set for hearing next February, the parties are asking, among other things, for declaration that the decision by NEC not to register about 50,000 eligible voters, who were 18 years and above in the permanent voters register was unconstitutional.
The by-elections were a result of the death of incumbents, transfer of some aspirants and election discrepancies reported in the previous election.
Matokeo ya uchaguzi wa madiwani hadi hivi sasa kati ya kata zilizotangazwa hadi hivi sasa ni hizi ukiondoa zile ambazo wagombea walipita bila kupingwa.
= Ruvuma - CCM Kata 2 (Tunduru)
Wapinzani 1 (Songea Mjini)
= Rukwa - CCM Kata 2
Wapinzani 1 (Kata ya Kabwe)
Arusha - Wapinzani 1
Matokeo yanayosubiriwa:
= Mwanza
= Shinyanga
= Kilimanjaro (Uchaguzi utafanyika Novemba)
Matokeo ya uchaguzi wa madiwani hadi hivi sasa kati ya kata zilizotangazwa hadi hivi sasa ni hizi ukiondoa zile ambazo wagombea walipita bila kupingwa.
= Ruvuma - CCM Kata 2 (Tunduru)
Wapinzani 1 (Songea Mjini)
= Rukwa - CCM Kata 2
Wapinzani 1 (Kata ya Kabwe)
Arusha - Wapinzani 1
Matokeo yanayosubiriwa:
= Mwanza
= Shinyanga
= Kilimanjaro (Uchaguzi utafanyika Novemba)
Kitu muhimu hapa sio,nani kashinda,kwanza cha kutazamwa ni hali ya upigaji kura ,salama hakuna fujo yaani kuonekane na maendeleo flani flani ukilinganisha na Uchaguzi mkuu uliopita,mazingira ya upigaji kura hakuna udanganyifu,hakuna rushwa,hakuna unyanyasaji unaotokana na vyombo vya dola,wala usumbufu kwa mawakala ili kuleta na kujenga matokeo yatakayokubalika kwa kila mmoja,hapo ndio tutakapofanikiwa kuijenga Tanzania inayosifika kwa utulivu na amani.
Mkimalizia hapo mtaona ubora wa uchaguzi wa haki usio kuwa na udanganyifu,haki ya raia imethaminiwa kuchagua kile akipendacho na mwisho ,ni kipimo cha upinzani,ikiwa mna kumbukumbu muandike mwanzo kiti hicho kilikuwa kwa Chama gani na sasa kimenyakuliwa na chama gani,mtapata uwiano wa mvuto wa chama na kuanguka chama chengine,hivi ni viti 16 sijui Chama Tawala kilikuwa na viti vingapi,kama kuna mtu ana kumbukumbu atuambie ili tuone exodus ya wapiga kura.
Mwiba, Mwalimu wako wa darasa la tatu hakukufunza matumizi ya vituo? Unaumiza macho ya wasomaji wa maandishi yako.