darubin ya mbao
JF-Expert Member
- Aug 3, 2016
- 2,454
- 5,122
Hahah kale lazima kakuchachafye kanasema kisarawe hakuna ardhi ya bureNgoja nikapigie simu ka Petero nisikie kanasemaje?
Hahah kale lazima kakuchachafye kanasema kisarawe hakuna ardhi ya bureNgoja nikapigie simu ka Petero nisikie kanasemaje?
Njombe Kuna Kijiji kimoj kinaitwa towe nilienda mwaka u mwezi w3 kule wanauza kiwanja af20 ili shida iliopo kule hamna Barbara ya uhakik Yan kule at pikipiki zinafika kwa shidaMwaka 2022! Nilisafiri kwenda Lindi kikazi. Katika ile project tulikuwa tunazunguka wilayani na kwenye vijiji ndani ndani huko.
Nilikuja kufika sehemu Ruangwa kuna vijiji tulienda huko ardhi ni bei ya kutupwa.
Ekari inauzwa elf 10 hapa kama unanunua serikali ya kijiji (ukitaka nyingi)
Kama unataka chache moja au mbili wananchi wanauza elf20
Kweli Tanzania bado ardhi nyingi!
Chanika ni Dar,,,na hakuna ardhi kwa bei hiyo...Pwani - chanika maeneo ya kitanga heka laki tano 70/70.
mbona kwetu mara ni mbali lakini ardhi bei kubwa?Lindi mbali ....zama kibaha, chalinze, msata , bagamoyo... maneneo bei poa sana tena yapo karibu na Road na huduma zote muhimu zipo
Uwepo wa Myerere NP,Mapori ya akiba na mito mikubwa ,Ni deadend hakuna barabara kuu ya kuunganisha dsm na mikoa.
Muongo hiyo hela hata ukienda Mwanalumango,Chole hupati kwa bei hiyo. Hapo Masaki ambayo ipo mbele ya Kisarawe bila Milioni hupati hata hekari moja.Lindi mbali sana
Hapo kisarawe ukipitia serikali ya vijiji heka moja unapata kwa laki moja kuanzia hekari 50 na kuendelea
Ni mbali kutoka wapmbona kwetu mara ni mbali lakini ardhi bei kubwa?
Nenda Konde mkuu ujipatie pori lako uthibitisheMuongo hiyo hela hata ukienda Mwanalumango,Chole hupati kwa bei hiyo. Hapo Masaki ambayo ipo mbele ya Kisarawe bila Milioni hupati hata hekari moja.
Sister wangu ana mashamba huko kibao ila hamna shamba la bei hiyo.Nenda Konde mkuu ujipatie pori lako uthibitishe
Kwenye majiji ardhi ndiyo bei kubwa lakini mikoa mingine ardhi ni ya kuokota tu ,hawapimi wanarusha jiwe mpaka litakapoangukia ndiyo mpaka.Mwaka 2022 nilisafiri kikazi mkoani Lindi, ambapo tulitembelea wilaya na vijiji mbalimbali. Tulipofika Wilaya ya Ruangwa niligundua kuwa bei ya ardhi ni nafuu sana. Kwa mujibu wa taarifa nilizopata, ukinunua ardhi kupitia serikali ya kijiji na unahitaji eneo kubwa, ekari moja inaweza kupatikana kwa takribani Shilingi 10,000.
Hata hivyo, ukinunua ekari moja au mbili kutoka kwa wananchi, bei yake huwa karibu Shilingi 20,000 kwa ekari."
Kweli Tanzania bado ardhi nyingi!
Bei gani mkuu?Kawetele mbeya pia viwanja bei slope.
Tabora ndani ndaniii hukooo Kuna maeneo unapewa bureeeee kabisaaaaaMwaka 2022 nilisafiri kikazi mkoani Lindi, ambapo tulitembelea wilaya na vijiji mbalimbali. Tulipofika Wilaya ya Ruangwa niligundua kuwa bei ya ardhi ni nafuu sana. Kwa mujibu wa taarifa nilizopata, ukinunua ardhi kupitia serikali ya kijiji na unahitaji eneo kubwa, ekari moja inaweza kupatikana kwa takribani Shilingi 10,000.
Hata hivyo, ukinunua ekari moja au mbili kutoka kwa wananchi, bei yake huwa karibu Shilingi 20,000 kwa ekari."
Kweli Tanzania bado ardhi nyingi!
Miaka 10/20/30/50 ijayo ukubwa wa eneo utabaki hivyo hivyo huku idadi ya watu ikiongezeka hata mara dufu!945,000km² ni eneo kubwa sana kwa watu mil 65