Wapi nitapata headphones zenye akili?

Rock zircon bongo hakuna,,mim nilinunua ali express mkuu

Zinapiga sana kwa budget poa

Nimechek hao wanaitwa earphonetz nao manazi tu hawana earphone.

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Duh, ilikucost kama bei gani arif, yani mie nna kitu inaitwa Selenium player ya android inachapa mziki Afrika Mashariki na kati. Ipo kama ile Commet player kwa dundo! Ila earphone ndio sina
 
Duh, ilikucost kama bei gani arif, yani mie nna kitu inaitwa Selenium player ya android inachapa mziki Afrika Mashariki na kati. Ipo kama ile Commet player kwa dundo! Ila earphone ndio sina
Zina range usd 8 hadi 10

Ngoja nipakue hiyo selenium nione mambo yake

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Zinadumu, material yake yapoje!? Na sound yake iko bassy with clarity. Kuna earphone za LG G4 nazo zina mziki mzuri balaa ila hauna bass sana!

Daah nimeshangaa sana kuona huu uzi maana ni wa 2015.. Mkuu hizo koss huwezi amini mpaka leo ninazo na ndio earphone ninazozitegemea hadi sasa siwezi kusafiri bila hizo. Hapo katikati kuna wakati nilizisahau kwene suruali zikafuliwa humo nikajua kwishney. Zilikwaruza kama siku 2-3 baadae nadhani zilipokauka zikarudi kwenye mdundo wa kawaida!
Material yake wanaita memory foam ni kama sponji kwa mbele kwahiyo zikiingia sikioni zinaziba kabisa sauti za nje unakua unasikia mziki tu.
Nimezicheki ebay naona bado zipo ila zimepanda bei saiz wanauza $22 - 25
 
Kama unataka earphone fake lakini zenye mziki mzuri kiasi naona AWEI pia sio mbaya sana, japo ni zile hard plastic ambayo ukiiweka masikioni hauwi comfortable hasa kama unazitumia kwa muda mrefu.
 
Awei nimezitumia both inner ear na zile zenye sponge. Mi napenda inner ear kwa sababu ukizivaa mziki wake unajaa. But nazo ni adimu sana sikuhizi so nikipita kuulizia nazikosaga mara nyingi.
Kama unataka earphone fake lakini zenye mziki mzuri kiasi naona AWEI pia sio mbaya sana, japo ni zile hard plastic ambayo ukiiweka masikioni hauwi comfortable hasa kama unazitumia kwa muda mrefu.
 
Kumbe hii thread bado iko hai, hebu jaribuni earphones za Knowledge Zenith (KZ), wanazo nzuri sana pia!
 
Nataka mziki mnene mpaka sikio litingishike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…