Wapi naweza pata Basmati kwa dar?

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,670
68,631
1024px-Brun_ris.jpg
 
Nenda uhindini, kuna super market mtaa wa Kisutu au maduka kibao ya jumla uhindini, ukishindwa nenda pale Muhimbili ile kona ya Muhimbili Primary School ulizia kwa Mapilau utaupata wa kumwaga.
 
Mkuu umeshaambiwa inapopatikana nenda kaulize bei mwenyewe maana bei zaweza kuwa zinatofautiana kutoka duka hadi duka.

Nimekupata Mzee wa Rula lkn si unajua kuna sehemu kama tatu hivi kisutu,kitumbini na Supermarket,kujua bei ni easy kusaidia kutochoma mafuta sehemu zote hizo!!
 
Back
Top Bottom