Wapi naweza ku-renew line siku ya Jumapili?

renamaizo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
2,136
Reaction score
3,074
Habari wadau

Nimeibiwa simu jana usiku. Nimeshatengeneza loss report naomba kujuzwa wapi nawea ku-renew line siku ya Jumapili customer care kabisa achana na hawa mawakala wa mtaani

line nilizopoteza ni
TTCL
TIGO
HALOTEL
SMILE
VODACOM
AIRTEL

Natanguliza shukrani za dhati
 
Vumilia mpaka Jumatatu mkuu, Jumapili maduka ya huduma kwa wateja hawafungui.
 
Kama upo Dar jaribu Mlimani City kuna baadhi ya line utaweza kuswap, ila mkuu mzigo wote huo nini siri ya mafanikio?
 
Habari wadau

Nimeibiwa simu jana usiku. Nimeshatengeneza loss report naomba kujuzwa wapi nawea ku-renew line siku ya Jumapili customer care kabisa achana na hawa mawakala wa mtaani

line nilizopoteza ni
TTCL
TIGO
HALOTEL
SMILE
VODACOM
AIRTEL

Natanguliza shukrani za dhati
Upo mkoa gani,kama ni nenda milimani city au Airport huduma masaa 24
 
Habari wadau

Nimeibiwa simu jana usiku. Nimeshatengeneza loss report naomba kujuzwa wapi nawea ku-renew line siku ya Jumapili customer care kabisa achana na hawa mawakala wa mtaani

line nilizopoteza ni
TTCL
TIGO
HALOTEL
SMILE
VODACOM
AIRTEL

Natanguliza shukrani za dhati
Ungekua Mbeya kuna vijana wapo pale stand ya mwanjelwa na kabwe wanarenew au waulize wale mawakaka wanaoweka miamvuli
 
Njoo tu uchukue line zako usippate tabu,utazikuta pale pale naweka kwa nje nakandamiza na jiwe, ila simu nimesha bwenga
 
Habari wadau

Nimeibiwa simu jana usiku. Nimeshatengeneza loss report naomba kujuzwa wapi nawea ku-renew line siku ya Jumapili customer care kabisa achana na hawa mawakala wa mtaani

line nilizopoteza ni
TTCL
TIGO
HALOTEL
SMILE
VODACOM
AIRTEL

Natanguliza shukrani za dhati
Kweli tuko uchumi wa kati yani viwanda vyetu vina uwezo wa kutengeneza cm unayotumia line 6
 
Habari wadau

Nimeibiwa simu jana usiku. Nimeshatengeneza loss report naomba kujuzwa wapi nawea ku-renew line siku ya Jumapili customer care kabisa achana na hawa mawakala wa mtaani

line nilizopoteza ni
TTCL
TIGO
HALOTEL
SMILE
VODACOM
AIRTEL

Natanguliza shukrani za dhati
Kama upo hapa Segese Kahama njoo vodashop tuko wazi
 
Halafu hivi ukisharenew line,mfano nikirenew line ya HALOTEL wanaifungua baada ya muda Gani ? YAANI inaanza kufanya kazi baada ya muda Gani ?
 
Back
Top Bottom