Nahitaji Mkopo wa milioni 6 kwa dhamana ya kiwanja

ALLY MWINYI

Member
Aug 10, 2019
19
18
Habarini ndugu

Nina shida na mkopo wa kiasi cha shilingi milion 6 kwa mtu binafsi au microfinance ambayo hawaitaji lesen ya biashara au niwe mwajiriwa ili kupata mkopo

Nahitaji mkopo huo kwa dhamana ya kiwanja cha mita 23 kwa 23 kilichopo kibaha kwa mathias , mtaa unaitwa mita 50 kiwanja kipo eneo limejengeka kipo pembezon mwa barabara ya mtaa

Nina shida ya milion 6 kwa riba tutakayokubaliana.
Nimeshindwa kupata benk kutokana na wanahitaji zaidi leseni ya biashara

Au kama kuna mtu anafahamu wapi naweza kupata mkopo wa kiasi hicho kwa pasipo sharti hilo anielekeze.
0613008960, 0711608960.

IMG_20230202_141938.jpg
 
0613008960,0711608960.View attachment 2512471
Njee ya mada! hukiuzi hicho kiwanja?
 
Aiseeee!! Huwa tunapenda sana kusaidiana ila Hapana kwa kweli.

Kuna mtu nilimkopesha 1.5M kwa riba ya 300k mpaka leo hajalipa ni miaka mitatu sasa. Hati yake ninayo na sina cha kuifanyia.

Sisi wabongo HATUSAIDIKI.
Si upauze eneo lake kama hati uko nayo.
Wape kazi watu wa kukusanya madeni.
Bila shaka kuna maandishi kama mpaka hati yake unayo..
 
Aiseeee!! Huwa tunapenda sana kusaidiana ila Hapana kwa kweli.

Kuna mtu nilimkopesha 1.5M kwa riba ya 300k mpaka leo hajalipa ni miaka mitatu sasa. Hati yake ninayo na sina cha kuifanyia.

Sisi wabongo HATUSAIDIKI.
Mkataba tutakaoandkshana nkshindwa kulipa ndan ya mda huo unauza nahtaj mkooo wkt pia nahangaikia kukiuza ndo ninachomaanisha
 
Habarini ndugu

Nina shida na mkopo wa kiasi cha shilingi milion 6 kwa mtu binafsi au microfinance ambayo hawaitaji lesen ya biashara au niwe mwajiriwa ili kupata mkopo

Nahitaji mkopo huo kwa dhamana ya kiwanja cha mita 23 kwa 23 kilichopo kibaha kwa mathias , mtaa unaitwa mita 50 kiwanja kipo eneo limejengeka kipo pembezon mwa barabara ya mtaa

Nina shida ya milion 6 kwa riba tutakayokubaliana.
Nimeshindwa kupata benk kutokana na wanahitaji zaidi leseni ya biashara

Au kama kuna mtu anafahamu wapi naweza kupata mkopo wa kiasi hicho kwa pasipo sharti hilo anielekeze.
0613008960, 0711608960.

View attachment 2512471
Hapa uweze kubadirisha hati Hadi iliekupa hati yake ADONDOKE SIGN NDO TAABU SOME TIME UNAMNYIMA MTU MSAADA KWA SABABU YA WAPUUZI KAMA HAWA
 
Je umefanya reseach ya thaman ya viwanja eneo hlo hyo ni bei ya shda
Nachomaanisha mkuu ni kua mtu binafsi au hizi microfinance ndogo Wana riba kubwa! Ukichukua milion 6 watakaka kiasi Cha chini million 7.2 tena na baada ya siku 30, zaidi ya hapo riba Itakua zaidi ya 8M yaani hii ni lazima kutokana na uhalisia

Sasa mtu hawezi kubali uweke bond kitu unachokithaminisha kwa milion 8.2! Ni Bora ukiuze tu tafuta madalali ukiuze tu

Hayo ni mawazo yangu! Kimfaacho mtu chake
 
Back
Top Bottom