Shukrani sana dada.Lipo jf chef nenda utaikuta pia ntaku mention
Shukrani sana dada.Lipo jf chef nenda utaikuta pia ntaku mention
Hakika hiyo... tena ikawekwa kikao cha suluhisho yule jamaa mwenye bandage kichwani alikuwa amekaa pembezoni anadai fidia..... Looh !!Tobaaaa usintishe sasa hizi saheeb
He he he kumbe na ww muoga ka mie....Huyo umuone usiku wee lazma ukimbie
Shukrani sana dada.
Huyu anafanana na yule paka wangu mcute kweli!
Heh pole sana hao walikuwa paka vibwengo!Woooo !! siBora hiyo yako.... Mie niliona vitisho viwili sijamsimulia mtu except my Mother !! Mosi. niliona paka akichaganya miguu kwa haraka alpofika mbele akageuka mtu (binadamu).!! napili. nilishuhudia paka alirushiwa kuni na ikampiga kichwani pwaah!! akaoweka fast, ila baada ya masaa akaja mjumbe wa nyumba kumi/10 na kafuatana na mtu aiyejifuna bandage kichwani na kudai kapigwa na mkazi wa humu nyumbani !! umeona msala huo!! farkhina
Exactly, kuna siku ilikuwa baridi, nilikuwa naharaka alfajiri nikiwahi eapoti kumwahi mgen... Bas kuwasha engine ya gari kumbe kuna paka aliingi usiku kujikoka joto la gari....Mmmh sasa nilipopiga switchi Khaaah mbona fan ya gari ikamraruwa na kumuua!! OMG !!Heh pole sana hao walikuwa paka vibwengo!
Exactly, kuna siku ilikuwa baridi, nilikuwa naharaka alfajiri nikiwahi eapoti kumwahi mgen... Bas kuwasha engine ya gari kumbe kuna paka aliingi usiku kujikoka joto la gari....Mmmh sasa nilipopiga switchi Khaaah mbona fan ya gari ikamraruwa na kumuua!! OMG !!
Kwa kuwa nilichanganya gear kuwahi kumpokea mgeni nikasahau yaliyotokea...!! Very bad, haikupita Masaa ila ikaingia MSG TEXT kutoka idara ya Traffic kuwa nimesababisha Ajali huko barararani ...so ikanigharimu fortunes!! (majanga ya hawa wanyama ni balaa) !!
Mhhhhhhh
Aaah, mie hawa maPaka "mtanisamehe"
Wallah ntatimua vumbi hutoniona tena.... (ntawaachia mapaka yenu)Naku postia ole wake umtupe lol
farkhina, wewe lazima utakuwa mrithi wa Bi.Nyau
NamwonaKama huyu kafunzwa kwenda sokoni lolView attachment 242340
Namwona
Paka wana akili sana na wanafundishika, hata atakapofanya kosa ukimtishia anaelewa siku nyingine harudii tena kosa kama hilo.napenda sana wanyama kama paka. ni mnyama pekee akiyemakin na ana akili
Kweli kabisa mkuu.... Hatamm kuna kipind nilikuwa nampa maziwa. Huyo paka alikuwa ananifuata hadi kitandan napo lala ananigonga na kucha kila ifikapo asubuhi ili nimpe maziwaPaka wana akili sana na wanafundishika, hata atakapofanya kosa ukimtishia anaelewa siku nyingine harudii tena kosa kama hilo.
Mimi nilikuwa na kawaida ya kumpa mkono wangu anauramba na ulimi wake unasugua sugua kama msasa au kuna wakati nlikuwa namuingiza vidole vyangu mdomoni mwake basi anachofanya hakung'ati anakufinya kwa mbali sana sababu anajua mnacheza
Beautiful kittens n very very cute nilikuwa na mmoja chuoni tangu kakiwa kigoli, balehe uchumba, ndoa hadi watoto,
Wanyama ni kama binadamu kabla hajavunja ungo nilikuwa nalala naye, naenda naye darasani na pengine pote, alipokuja kupata mpenzi wa mtima wake safari nami zikapungua mno, nakumbuka jioni nikimwachia chakula kwenye sahani yake hali mpaka bebi wake aje
Siku anajifungua hakutaka niende popote nilikaa naye mpaka alipopata uchungu na hatimaye kujifungua vitoto vinne vicute hasa
Sitosahau siku naondoka kurudi Tanzania, kuna hisia za ajabu wee acha tu, nilikuwa mzazi kwake na ilibidi nitengane naye nilikuwa nahisi maumivu yake naye alikuwa anahisi ya kwangu
Thanx farkhina