Wapenzi wa Paka

Wapenzi wa Paka

Halafu wana staha na aibu za kibinadamu kabisa, siku ya kwanza kumfuma na MKWE alikimbia na kujificha na alichelewa kurudi chumbani,alikuja mpaka dirishani akakaa hapo, yale madirisha ya wenzetu ni kimo cha kifua, nikambembeleza kama mzazi akaingia chumbani lakini alikuwa na haya na kujiona mkosaji kabisa

Tena ulibahatika sana maana paka huwa anaelewa vzr masuala ya siri kama kunya,kujamiiana na kuzaa mambo hayo paka hataki binadam ashuhudie
 
Kweli kabisa mkuu.... Hatamm kuna kipind nilikuwa nampa maziwa. Huyo paka alikuwa ananifuata hadi kitandan napo lala ananigonga na kucha kila ifikapo asubuhi ili nimpe maziwa

Wapo very smart paka mie siku alikuja friend wangu ku sleep over nyau wangu kaenda kuzurura milango imeshafungwa ndio huja kuparuza dirisha basi nkamwambia nimekuskia naenda kukufungulia mlango nlipowasha taa kaondoka nkamkuta mlangoni akaingia zake ndani yule shosti alicheka sana kashangaa nyau mambo yake kama mtu...
 
Paka wana akili sana na wanafundishika, hata atakapofanya kosa ukimtishia anaelewa siku nyingine harudii tena kosa kama hilo.

Mimi nilikuwa na kawaida ya kumpa mkono wangu anauramba na ulimi wake unasugua sugua kama msasa au kuna wakati nlikuwa namuingiza vidole vyangu mdomoni mwake basi anachofanya hakung'ati anakufinya kwa mbali sana sababu anajua mnacheza

Alafu wanapenda kudeka sana ukikaa mara huyo kajilaza mapajani
 
Paka nilikuwa nawapenda zamani sikuizi siwapendi nasikia wanatumiwa na nguvu za giza
 
CATS are beautiful animals

1430323930979.jpg1430323943509.jpg
 
Back
Top Bottom