- Thread starter
- #41
Umenikumbusha mbali. Nikiwa mdogo Kaka yangu alimleta akiwa mdogo. Kalikuwa poa sana, nakumbuka kalipata jeraha baya sana kakafariki. Siku wanakazika chozi lilitoka.
Na bora usimshuhudie paka anakufa anahangaika sana yaani hadi moyo unauma nlikua nae nliletewa zawadi alikua mweupeee mzuri alafu kanene hako majirani walimpa sumu nilisikitika sana binadamu sie tuna roho mbaya sana


