KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,828
- 12,321
Wakisha kuwa wakubwa utamu unapungua.
Hawa ukiwaweka nyumbani wataliwa na panya wote.
Woooo !! siBora hiyo yako.... Mie niliona vitisho viwili sijamsimulia mtu except my Mother !! Mosi. niliona paka akichaganya miguu kwa haraka alpofika mbele akageuka mtu (binadamu).!! napili. nilishuhudia paka alirushiwa kuni na ikampiga kichwani pwaah!! akaoweka fast, ila baada ya masaa akaja mjumbe wa nyumba kumi/10 na kafuatana na mtu aiyejifuna bandage kichwani na kudai kapigwa na mkazi wa humu nyumbani !! umeona msala huo!! farkhinaMi napenda paka nilikuwa nae nyumbani...lakini kuna siku alinitisha...Unajua paka akiwa kwenye giza macho yake yanaonekana kama yanangaa....Sasa siku umeme ukakatika ghafla dah nilikuwa naona macho tu na nilikuwa mtoto around 9 dah nilidhani paka amekuwa vampire :lol:
Wasubiri tu watakuja wahusika
HHahaha anaitwaje?
Mi napenda paka nilikuwa nae nyumbani...lakini kuna siku alinitisha...Unajua paka akiwa kwenye giza macho yake yanaonekana kama yanangaa....Sasa siku umeme ukakatika ghafla dah nilikuwa naona macho tu na nilikuwa mtoto around 9 dah nilidhani paka amekuwa vampire :lol:
Hawa ukiwaweka nyumbani wataliwa na panya wote.
Paka inaaminika na wenzetu kuwa ni messangers wazuri sana ; MCHAWI NI MTU PAKA HUTUMWA TU!!!
Miongoni mwao ni Mimi,nilikuwa na paka wangu nikawa namuita pusi aiseee nilimfundisha tabia ambazo watu walishangaa ukienda sehemu kama unakimbia anarudi nyumbani,ukienda taratibu anapanda megani na ilikuwa hata apewe kitu na mtu mwingine hali.Nilimpenda sana kuna Mzee mmoja alimuua kwa maksudi akidai ameiba nyama kwake niliporudi toka Shule jioni, weee niliwasha moto aiseee...
Hawaii samaki hao....
Jamani unanifananisha na vinyau lol
Hakufananishi na nyau ila anatoa sifa ya uzuri wa hawa viumbe
Woooo !! siBora hiyo yako.... Mie niliona vitisho viwili sijamsimulia mtu except my Mother !! Mosi. niliona paka akichaganya miguu kwa haraka alpofika mbele akageuka mtu (binadamu).!! napili. nilishuhudia paka alirushiwa kuni na ikampiga kichwani pwaah!! akaoweka fast, ila baada ya masaa akaja mjumbe wa nyumba kumi/10 na kafuatana na mtu aiyejifuna bandage kichwani na kudai kapigwa na mkazi wa humu nyumbani !! umeona msala huo!! farkhina