Wapenzi wa Paka

Wapenzi wa Paka

My Sistaz, Nyumba yenye paka siishi ndani humo!! toka utotoni mimi na paka ni East v/s West !! sijui nini kilinisibu? farkhina
Mi napenda paka nilikuwa nae nyumbani...lakini kuna siku alinitisha...Unajua paka akiwa kwenye giza macho yake yanaonekana kama yanangaa....Sasa siku umeme ukakatika ghafla dah nilikuwa naona macho tu na nilikuwa mtoto around 9 dah nilidhani paka amekuwa vampire :lol:
 
nilikua na paka wangu huyo simsahau alikua akinisaidia mambo mengi r.i.p my cat alikua akinifulia nguo na kunipigia pasi kitanda pia alikua akinitandikia na kunipikia kabisa na alikua msafi akiamka jambo la kwanza kupiga mswaki na kufagia uani i miss you my cat majonzi makubwa nayapata!!
 
Mhhhh mmh mmh mmh....!!!

Beautiful kittens n very very cute nilikuwa na mmoja chuoni tangu kakiwa kigoli, balehe uchumba, ndoa hadi watoto,
Wanyama ni kama binadamu kabla hajavunja ungo nilikuwa nalala naye, naenda naye darasani na pengine pote, alipokuja kupata mpenzi wa mtima wake safari nami zikapungua mno, nakumbuka jioni nikimwachia chakula kwenye sahani yake hali mpaka bebi wake aje
Siku anajifungua hakutaka niende popote nilikaa naye mpaka alipopata uchungu na hatimaye kujifungua vitoto vinne vicute hasa

Mshana hawa ni wanyama, hawajifungui ... wanazaa. Herehoa?
 
Asante kwa masahihisho japo maana ni ileile
 
Halafu wana staha na aibu za kibinadamu kabisa, siku ya kwanza kumfuma na MKWE alikimbia na kujificha na alichelewa kurudi chumbani,alikuja mpaka dirishani akakaa hapo, yale madirisha ya wenzetu ni kimo cha kifua, nikambembeleza kama mzazi akaingia chumbani lakini alikuwa na haya na kujiona mkosaji kabisa

Hahahaaa!Aisee umeniacha hoi kweli!
 
Paka inaaminika na wenzetu kuwa ni messangers wazuri sana ; MCHAWI NI MTU PAKA HUTUMWA TU!!!
 
nilikua na paka wangu huyo simsahau alikua akinisaidia mambo mengi r.i.p my cat alikua akinifulia nguo na kunipigia pasi kitanda pia alikua akinitandikia na kunipikia kabisa na alikua msafi akiamka jambo la kwanza kupiga mswaki na kufagia uani i miss you my cat majonzi makubwa nayapata!!

Mmmmh!
 
Hawa ukiwaweka nyumbani wataliwa na panya wote.
 
Hahahaaa,katika vitu ambavyo siwezi kuvumilia basi ni kuishi na panya ndani!
Niko radhi nitoe vitu vyote nje niingize kimoja kimoja hadi nihakikishe nimewaua au wakimbie.
 
Back
Top Bottom