Wapenzi wa Michael Kors handbags, winter collection imetoka

Rafiki yangu alikwenda Dubai ananiambia feki zao babu kubwa lakini wanakuambia kabisa ukweli.
Nitapita huko siku moya nijiokotee
Brand yake is one of the best!
Hapa ni mwendo wa fake lakini tutafanana tu humo mitaani na watu wa mabrand original kwa pesa kiduchuuu
 
Back
Top Bottom