Wapenzi wa Michael Kors handbags, winter collection imetoka

Vi rendra

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Messages
1,853
Points
2,000

Vi rendra

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2017
1,853 2,000
Mtumbani sikuhizi wale madalali wanayajua majina. Back in 2000 nilikuta Burberry Mwenge hakuna aliyekuwa na time nalo.
Umeona eeeh wanaziuza bei balaa.
Kuna Luis Vuitton alma nmeinunua mwezi April 7000/=
OG
kwanza alivyoniambia ef7 sikuamini mpyaaaa
Tangu nmeinunua imekua kama Handbag ya wana nna miezi mi4 sijaiona iko kwa Rafiki yangu uko anaseleleka nayo Masaki
Screenshot_20191007-124030~2.jpeg
 

Forum statistics

Threads 1,343,548
Members 515,090
Posts 32,788,230
Top