Saa inauzwa Tzs 200000, brand: Michael kors

Saa inauzwa Tzs 200000, brand: Michael kors

Augustking

Senior Member
Joined
May 25, 2019
Posts
136
Reaction score
214
Saa inauzwa
Brand name: Michael Kors
Bei: 200000
Location: Kimara Mwisho
Contact: 0744737358

Hii bei ni punguzo amazon wanauza laki 3 na nusu bado usafiri
IMG_20220414_103134_894.jpg
Screenshot_20220414-102714.jpg
 
Mimi sio mpenzi sana wa saa tena na hizi kazi zangu naweza kuvaa Hadi shambani maana ndo kazini kwangu mda wote,, kama hutojali niachie kwa Laki moja(100, 000)
Niko serious na kama nawe uko serious nicheck PM mkuu.
 
Unafanya biashara ya saa au hiyo ni yako umeamua kuisukuma?
 
Dingi jf hamna wateja most of us ni wagonga ulimbo na ulimbukeni wa kutafta vikasoro vidogo vidogo

Hapa hata wenye uhakika wa kula mchana huu ni wachache saaana
 
Back
Top Bottom