Wapendwa NAUMWA

Wapendwa NAUMWA

Pole sana swahiba! Kuugua sio kufa usihofu utapona.
 
Mkuu.
Ukipona upunguze kula makachumbari ambayo hayaja tengezwa kwa usafi, nakushauri kama unapenda hayo mavitu muambie mum mjengo wako awe anayatengeneza yeye maana bila shaka atatoa kitu nadhifu, jitahidi pia kunywa maji safi na salama na hakikisha kuwa una nawa mikono kwa sabuni ya kuuwa wadudu kila unapo toka chooni.

Kama una ile tabia ya kuzama uvungu mdogo pia uache maana nayo hupelekea magonjwa mbalimbali ikiwemo homo ya matumbo! Hahahaha

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Oooohoo! Kaazi kweli kweli!!!!
 
Dear friends Baba V naumwa balaa, ni mwendo wa malaria feat. Typhoid, pray for me brothers and sisters!,ni siku ya tatu leo nipo kwa kitanda, all i can do ni kuingia Jf via my mchina

pole sana mkuu. nenda hospital. Hakikisha maji unayotumia imechemshwa kwa mda mrefu. achana na kachumbali ambazo hazijaoshwa na maji salama, tumia chandarua, ukishatumia vidonge hakikisha unakula na kunywa maji mengi.
Mungu akuponye haraka. mia
 
Last edited by a moderator:
Get well soon kaka,bado tunahitaji busara zako hapa jamvini
,zingatia maelekezo ya wataalam na jitahidi kupata muda mrefu wa kupumzika.
Ugua pole kaka...
 
pole sana Baba V! Lol MUNGU WETU AKUPONYE!
 
Last edited by a moderator:
PoLE SANA MKUU! Allah atakuponya magonjwa na maumivu' uctupe dawa sasa

Ahsante mkuu, hiyo jeuri ya kutupa dawa ntakuwa nayo? Kwa jinsi nilivyotingwa
 
Back
Top Bottom