Wapendwa NAUMWA

Wapendwa NAUMWA

Dear friends
Baba V naumwa balaa, ni mwendo wa malaria feat.
Typhoid, pray for me brothers and sisters!,ni siku ya tatu leo nipo kwa
kitanda, all i can do ni kuingia Jf via my mchina

Baba V,pole sana,get well soon.
 
Last edited by a moderator:
Pole kiongozi Inshaallah Mungu atakupa ponyo la haraka!
 
Akamwambia unataka nini, naye akamjibu nataka kuona tena......

Akamwambia "imani yako imekuponya"

Amin amin nawaambia ukiwa na imani ndogo japo kama punje ya haradali, utauambia mlima ung'oke ukaote baharini na ukakutii.

Na hili ndilo neno la Mungu.

Tumshukuru Mungu
 
Dear friends Baba V naumwa balaa, ni mwendo wa malaria feat. Typhoid, pray for me brothers and sisters!,ni siku ya tatu leo nipo kwa kitanda, all i can do ni kuingia Jf via my mchina

Piga mseto na maji mengi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom