Gia zingine za kupata PM, zinachekesha!
Kwani ukifika tu unavua?
Unaweza kutumia Google Translate. ​Vipi, umeshapata PM ngapi?Hebu andika hivyo ulivyoandika kwa Kiingereza. Najua huwezi...
Unaweza kutumia Google Translate. ​Vipi, umeshapata PM ngapi?
Wabeba boksi wengi utawakuta pale SamakiSamaki Mlimani City na Steers Makumbusho wakijiliwaza na Burger au na maji ya dhahabu kutoka pale Mchikichini,utawajua tu kwa jeans mpauko,kata K,wahtzup nyingi na kulalamika kwaingi kuwa haya maisha ya bongo si maisha,utawasikia man Boston saa hizi sijui kuna ....... ah we sio nenda Cali.Kina dada,
Kwa wale wote mnaopenda kujipatia wabeba maboksi wenu nitumieni PM. Mimi kama raisi wao hapa JF nime compile bonge moja la profile database na lina karibu kila kitu upendacho kujua kuhusu mbeba maboksi wako unayetamani kuwa naye.
Jipatie mbeba maboksi wako...usilaze damu. Tuma PM.
Huo ni msemo tu usiuchukulie kama ulivyo..!
Oyaa! Usitoke nje ya mada!Ahahahaaa Kibs kumbe lugha bado haipandi...nilijua tu.
Wabeba boksi wengi utawakuta pale SamakiSamaki Mlimani City na Steers Makumbusho wakijiliwaza na Burger au na maji ya dhahabu kutoka pale Mchikichini,utawajua tu kwa jeans mpauko,kata K,wahtzup nyingi na kulalamika kwaingi kuwa haya maisha ya bongo si maisha,utawasikia man Boston saa hizi sijui kuna ....... ah we sio nenda Cali.
Kwa kifupi NyaniNgapu wabeba boksi hawatafutwi wanajulikana tu kwa tabia na mienendo yao,na pia huenda vicheche ndio watawaPM hao wabeba boksi kwani hawana jipya zaidi ,Bongo ni mtoni siku hizi hasa ukiwa umeenda kushule na wabeba boksi wengi walioenda shule wameshaweka kambi bongo wanaendesha maisha kama wako mtoni
Kina dada,
Kwa wale wote mnaopenda kujipatia wabeba maboksi wenu nitumieni PM. Mimi kama raisi wao hapa JF nime compile bonge moja la profile database na lina karibu kila kitu upendacho kujua kuhusu mbeba maboksi wako unayetamani kuwa naye.
Jipatie mbeba maboksi wako...usilaze damu. Tuma PM.
Hala hala kukuwadia mabwana na waume wa wenzio.
utawasikia
1.dude! When i was in london
2.ooh men, dar is fffffffn hot
3.dude, i cant stand this ffffff trafik jam
na mengine mengi
afu ukute na vibinti viosha wazee(msinipige hapa i just picked this name sitaki kumoffend yeyote)
navyo vina mambo yao
1. She is too fake, cant wear that hair style
2. Nina designer shoes, zile 8 pairs of sl i bought when i was on vacation yugoslavia
3. Swirt, dah is fffffn hot, will ruin my skin
4. Nilikutana na trafik jam kubwa nikazimia, they had to call an ambulens kunifikisha hapa steers
4. This govement is fffffn roten, hamna hata posho kwa wasiojiweza afu hamna hata nyumba za kulelea wazee
5. Na mengine mengi
Kwani ukisubiri ukavua baadae ndio huwezi "kufukuzwa na kichupi mkononi"?Kwani ukifika tu unavua?
Hata hivyo kuna ubaya gani ukivua siku ya kwanza? it is also an option!
Hata akivua siku ya kumi lakini si KAVUA!!! Daahhh bado sanaaa hapo kwa pink hawajagundua,labda uwaelimishe kidogo.
huo sasa utakuwa uchokozi Mama Tuli lol maana masomo yangu kufaulu hadi Practicals, :juggle:
Hamna sehemu tamuuu ya kukutana na hawa kama JAVA!!! Ni burudani toshaaaaa
Wabeba boksi wengi utawakuta pale SamakiSamaki Mlimani City na Steers Makumbusho wakijiliwaza na Burger au na maji ya dhahabu kutoka pale Mchikichini,utawajua tu kwa jeans mpauko,kata K,wahtzup nyingi na kulalamika
kwaingi kuwa haya maisha ya bongo si
maisha,utawasikia man Boston saa hizi sijui
kuna ....... ah we sio nenda Cali.